Usiku unamambo mengi

Usiku unamambo mengi

luziiii

Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
43
Reaction score
49
Usiku nigiza ikifika 19:00hrs 22:00hrs nimda wazinzi wanafanya yao.23:00hrs 01:00hrs mda wamakahaba

01:45hrs 04:30.mda wawachawi wanafanya yao hapo ndiopaguni.
wachawi wanafanya mambo mengi

Wanatembelea kilamutu kama huna maombi lazima wakukabe

kama wewe nimkiristo kazanakuomba,bibilia inatukumbusha kusali kila mda.

Wenzetu waislam msisahau kuswali sala zote5

02:00hrs 04:40hrs waizi nao wako bize akikukosa mwizi unakutana namchawi akikukosa Mchawi lazima mwizi apite.

Nawatakia usikumwema.... Ktk jina layesu Amen
 
Back
Top Bottom