Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mahakama ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa imemhukumu kifungo cha maisha jela, Frank Mlyuka (24) baada ya kupatikana na hatia ya kubaka na kulawiti mtoto wa kike wa miaka mitatu. Mbali na hukumu...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Kwa update na episode zilizokupita njoo in Jamailraja AZAM TV ‍‍‍
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watumishi wengi sana wanalia kuwa majina yao hayapo kwenye orodha ya madeni na wana ushahidi wote kuwa wanadai. Angalizo langu natoa kwa zoezi linalokuja la kupandisha watumishi madaraja. Hili...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Eti Tuliomba Mkopo Wa Reli? Wahenga walisema mwenzio akinyolewa chako tia maji- Africa on the move!
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), amekutana na kufanya mazungumzo marefu na Mtanzania Harith Ghassany. Na kusema kuwa amefurahi na kumsifu kuwa ana maarifa mengi na hazina kwa...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Nadhani lengo la mashine hizi ni kuisaidia serikali kukusanya mapato toka kwa wafanyabiashara, sasa inakuwaje mashine hizi ziuzwe kwa wafanyabiashara kwa bei kubwa hivyo. Fikria mfanyabiashara...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania ,Kanda ya Moshi ,imemhukumu kifungo cha maisha jela ,Christina Biskasevskaja (26) raia wa nchi ya Lithuania baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nilishtuka sana kusikia Rais Magufuli akisema kuwa anatamani siku moja mitandao ya kijamaa isiwepo Tanzania (duniani?). Alisema hivyo kwa kuwa aliamini inamzuia kufanya kazi zake za kuinyoosha...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
80% YA VIJANA Afrika Mashariki wana Magovi. Yesu alitahiriwa akiwa mdogo,Maandiko yanatuambia kuwa kutahiriwa au kutotahiriwa hakuna thawabu mbele za Mungu Bali ni kuzishika sheria za Mungu...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Chadema yapata pigo huko Kilombero Chama cha demokrasia na maendeleo (chadema ) mkoa wa Morogoro,Wilaya ya Kilombero, jimbo la mlimba, kimepata pigo kubwa baada ya Kufariki kwa aliyekuwa mgombea...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Baraza la watu watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi, Katika halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe wameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kutunga Sheria itakayopelekea watu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Viongozi naona wanakimbia ofisi zao kwa sababu tofauti tofauti wengine kwa mashinikizo na wengine kwa kuondoka wenyewe ofisini.
0 Reactions
3 Replies
964 Views
Ni tafakari tu ya maisha na Tabia zetu watanzania. Turudi nyuma kidogo nyakati zile za Nyerere, na Mwinyi. Maana yangu kuwa kuna tofauti kubwa katika mfumo wa maisha. Japo zama hizo hakukuwa na...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Najiuliza hili swali baada ya aliyekuwa Mbunge kuomba msaada wa rais ili asaidiwe matibabu. Na kweli rais alituma gari la wagonjwa na kumsafirisha moja kwa moja kwenda Muhimbili. Ni wabunge hawa...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Rita kuna uonevu unaendelea wakubwa wanatumia nafasi zao kuambia watu kuwa hati za kuzaliwa za bibi zao na mama zao ni feki na kuomba rushwa ya mpaka milioni kutengenezewa hati nyingine ambayo...
0 Reactions
1 Replies
813 Views
Mitandao mingi siku hizi hapa nchini imekosa mijadala ambayo ni hot na inayoleta msisimuko wa mjadala ikilinganisha na zamani wakati wengi walikuwa wanaongea uhalisia na kutokana na utashi wao...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
SHERIA : Raia wa Lithuania, Kristina Biskaveskaja (kushoto) anayetuhumiwa kwa usafirishaji wa dawa ya kulevya aina ya heroine zenye uzito wa gramu 3775.26 zikiwa na thamani ya Sh169.8 milioni...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Unamtetea mnyonge mmoja kwa kumsababishia mnyonge mwingine mshtuko wa moyo!. Vipi kama huyu aliyepatwa na mshtuko wa moyo akipoteza maisha?, hao wanyonge wengine wanaomtegemea, nani atawapatia...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
BREAKING: Sheria Mpya Uchimbaji wa Madini ya 'TANZANITE' - Mh Biteko via YouTube Ila tazameni yule mwandishi wa habari kule nyuma?! Anasinzia, anapiga mihayo, anarembuwa macho, kalegea kama...
1 Reactions
0 Replies
835 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…