Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
80% YA VIJANA Afrika Mashariki wana Magovi.
Yesu alitahiriwa akiwa mdogo,Maandiko yanatuambia kuwa kutahiriwa au kutotahiriwa hakuna thawabu mbele za Mungu Bali ni kuzishika sheria za Mungu. Mimi Deo kisandu nimetahiriwa nikiwa mdogo, Vipi Vijana wenzangu mnampango gani? Magonjwa mengi yanasababishwa na kutokutahiriwa.
Wanasiasa tuwe mfano wa kuiokoa jamii bila woga kwa kusema ukweli ili kulinda afya za wenzetu. Mimi nimeamua kulisema hili maana wapo wake na wachumba wa wanasiasa wanalalamika na wanashindwa kuwaambia waume zao na wachumba wao. Mimi nitaendelea kuirekebisha Nchi iwe kwa Damu au kwa Amani ili kila mmoja awe na afya njema.
OPERESHENI: Nenda ukatahiriwe usipate magonjwa.
.
Deogratius Kisandu