Kwahiyo Dodoma highway hakuna wakubwa waliowekeza? Maana tunajenga SGR kwenda Dodoma, meaning Trillion 7 zinateketea coz wakubwa wakiwekeza reli haitumiki, is it?Kuna wakubwa wamewekeza hapo
Kwahiyo Dodoma highway hakuna wakubwa waliowekeza? Maana tunajenga SGR kwenda Dodoma, meaning Trillion 7 zinateketea coz wakubwa wakiwekeza reli haitumiki, is it?
Tazara imewekwa mfukoni na wenye Hera zao, ili maroli yao yawaingizie kwanza na kurudisha mikopo walochukua huko lasivyo ni majanga.Eti Tuliomba Mkopo Wa Reli?![]()
Wahenga walisema mwenzio akinyolewa chako tia maji- Africa on the move!
Kuboreshwa kwa miundo mbinu ya Barbara ni moja ya sababu ya kufa kwa usafiri wa reli kwani mzigo ukisafiri kwa barabara maana yake ni from door to door. Pili wakati wa mwalimu ilikuwa ni marufuku kwa taasisi za serikali kusafirisha mizigo kwa malori sehem ambayo kuna njia ya reli iwe TZR au reli ya kati baadae hao hao wakubwa wakaanza kufungua kampuni zao na kupuuza suala la reli hivyo tatizo kwa nionavyo mm ndipo lilipoanza . sasa hivi kumkuta mtumishi wa umma na semi tano ni kitu cha kawaidaKwa Kipindi hiki au unazungumzia Enzi za Mwalimu
Sasa mbn unajibu mengine tofauti na nilichoulizaKuboreshwa kwa miundo mbinu ya Barbara ni moja ya sababu ya kufa kwa usafiri wa reli kwani mzigo ukisafiri kwa barabara maana yake ni from door to door. Pili wakati wa mwalimu ilikuwa ni marufuku kwa taasisi za serikali kusafirisha mizigo kwa malori sehem ambayo kuna njia ya reli iwe TZR au reli ya kati baadae hao hao wakubwa wakaanza kufungua kampuni zao na kupuuza suala la reli hivyo tatizo kwa nionavyo mm ndipo lilipoanza . sasa hivi kumkuta mtumishi wa umma na semi tano ni kitu cha kawaida
Sasa kwanini tusitatue kwanza changamoto za TAZARA badala yake tunakimbilia kujenga nyingine? Maana wenye malori hao hao wanaogombania mizigo na TAZARA ndio watagombania mizigo na SGR, na reli itabaki bila kutumika, tufugue TAZARA kwanza!That is it. Hivi waweza kurudi nyuma na kujiuliza chanzo cha reli zetu pendwa kufwa kifo cha mende?? Niambie kulikuwa na ukosefu gani hadi reli kufa?? 1. Ukiritimba wa kuzidi. Mzigo unachukua hata miezi kutoka Dar kwenda Mz. na Kgm. 2. Yakaingizwa malori ya wenyewe kina Mwanamboka. Mizigo siku 3 tu inaingia hadi Rwanda na DRC, Ulitegemea mtu gani mzalendo kiasi hicho aozeshee mzigo wake njiani kwa sababu anangojea treni?
Kama akijitokeza kigogo mmoja akawekeza vyema njia hiyo nayo itakufa. Treni si hija, hoja biashara iwe halali
Sasa kama usafiri wa barabara unatija mno kupita reli, ni kwanini tunatumia bilioni elfu saba kujenga reli nyingine badala ya kuboresha miundo mbinu ya barabara? Maana kama wanaikwepa TAZARA kwa sababu hiyo hiyo wataikwepa na SGR pia, hivyo Trilioni 7 zetu zitakua zimeteketea bure. TAZARA HAITUMIKI LAKINI TUNAJENGA NYINGINE AMBAYO NAYO HAITATUMIKA, hizo pesa zikanunue vitanda vya wajawazito kama hazina kazi!Kuboreshwa kwa miundo mbinu ya Barbara ni moja ya sababu ya kufa kwa usafiri wa reli kwani mzigo ukisafiri kwa barabara maana yake ni from door to door. Pili wakati wa mwalimu ilikuwa ni marufuku kwa taasisi za serikali kusafirisha mizigo kwa malori sehem ambayo kuna njia ya reli iwe TZR au reli ya kati baadae hao hao wakubwa wakaanza kufungua kampuni zao na kupuuza suala la reli hivyo tatizo kwa nionavyo mm ndipo lilipoanza . sasa hivi kumkuta mtumishi wa umma na semi tano ni kitu cha kawaida
Sasa kama usafiri wa barabara unatija mno kupita reli, ni kwanini tunatumia bilioni elfu saba kujenga reli nyingine badala ya kuboresha miundo mbinu ya barabara? Maana kama wanaikwepa TAZARA kwa sababu hiyo hiyo wataikwepa na SGR pia, hivyo Trilioni 7 zetu zitakua zimeteketea bure. TAZARA HAITUMIKI LAKINI TUNAJENGA NYINGINE AMBAYO NAYO HAITATUMIKA, hizo pesa zikanunue vitanda vya wajawazito kama hazina kazi!
Ifike mahala nchi iendeshwe kama China wanavyofanyaga..Trilioni 7 hata zikiteketea bure...jamaa anakuwa kashapiga trilioni zake kadhaa, sasa tatizo lipo wapi?
Hiyo taasisi imesajiliwa na mamlaka ipi ya inchi...na inaitwajeKuwa na akili timamu Rais ni taasisi siyo mtu.....jiongeze....
Aisee sio kwa awamu hii, Urais huwa ni taasisi pale kiongozi mkuu anaposhirikiana na wasaidizi wake ktk kushauriana na kutoa maamuzi.Kuwa na akili timamu Rais ni taasisi siyo mtu.....jiongeze....
Sasa kwanini tusitatue kwanza changamoto za TAZARA badala yake tunakimbilia kujenga nyingine? Maana wenye malori hao hao wanaogombania mizigo na TAZARA ndio watagombania mizigo na SGR, na reli itabaki bila kutumika, tufugue TAZARA kwanza!