Tanzania kuuza umeme nje ya nchi huku tukiwa hatuna wa kutosha maana yake nini?

Ungetoa na mifano ya wapi na wapi tunauza umeme na bei zake ingesaidia kujua usaidiweje.
 
Hahaha nini cha ajabu, kila siku tunaambiwa nchi hii tajiri sanaaa, lakini tunakopa hadi tunaomba kusamehewa madeni na wadai wetu.
Tunayo sukari tele kagera na mtibwa lakini tunaagiza sukari toka nje, tujizoee sisi ni watanzania.
 
Kichwa cha habari ni swali
Uzi nao ni swali.
Tujibu swali lip kat ya hayo?
 
Back
Top Bottom