MILL8
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 1,837
- 881
Amani vipi ndugu zangu wa jf mambo byee kabisa, basi safi. sasa ngoja niende kwenye mada iko hivi....
mimi nilimaliza shule ya msingi mwaka2010 nikafaulu kujiunga na sec 2011-12 nikatimuliwa baada ya mzee wangu kushindwa kunilipia ada, nikarudi nyumbani kupambana na hali yang....
sasa hivi cha kushangaza ananambia nirudi darasa la 7, wakati wenzang niliokuwa nasoma nao wako vyuoni. ushauli ndugu zangu kwa kijana mwenzenu, nirudi shule au niendelee kupambana na hali yangu.