Mamlaka za MAJI safi na taka.

ndeambase

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
626
312
Kuna hili swala LA MAJI safi katika mkoa wa pwani wilaya ya Kibaha kata ya Mkuza yani Eneo Kwa mathiasi Takriban miezi zaidi ya mitano MAJI yanatoka machafu baada ya muda yanatoka tena masafi inakua ni hivyo hivyo.Sasa nauliza mamlaka husika Kwa nini wasiyatibu MAJI katika hatua zote ilihali hela za Ankara mnachukua kila mwezi Kwa nini? Na Kwa Sasa naona hata zile dawa za kuondoa ugumu wa MAJI haziwekwi kwani MAJI hayshiki sabuni.
 
Back
Top Bottom