Jinsi ya kujivua uraia

Jinsi ya kujivua uraia

ulaya12

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
834
Reaction score
909
Jamani naombeni mwenyekufahamu utaratibu upi niufuate ili nisiwe raia wa Tz. Ingawa mimi ni Mtz wa asili kabisa ila imetokea kutokuipenda kabisa hii nchi naomba mnielewe nasemahaya kwa dhati kabisa bilakushawishiwa na mtu, nikama ambavyo wale wanasiasa wanavyohama chama chao nakuhamia chamakingine wanasema katiba inawaruhusu kufanyahivyo, namimi naomba iwehivyo.

Tafadharini mnifahamishe,mimi nitakuwa ninakaa kwa kibali ambacho nitakuwa nalipia kama wageni wakutoka nchi za nje, tena hapo nitakuwa naichangia nchi yenu mapato huo ndiyo uamuziwangu msiupuuze.

Ahsanteni
 
Dada yangu pia anataka kujivua uanamke vipi nikuconnect nae!?..
 
Wale wanasiasa wanahama chama lakini kadi wanagoma kurudisha kisa hawajaacha siasa

Na wewe pia unaweza kwenda pale migration ukajivua uraia lakini tabia ya Utanzania utakufata tu
 
Mtafute Dr.Slaa akwambie anaishije Canada!, na bado juzi kateuliwa kuwa balozi wa Tanzania.
 
Nenda Nairobi, fungua Instagram anza kuwadiss watu thn omba asylum
 
Hili ndilo tatzo la kuizoea sana smart phone hadi kufikia hatua ya kutoa uzi upo usingizini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom