Askari wa usalama barabarani watumie mashine za EFD

ngararumu

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
469
250
Jamani wadau wa JF mimi nimechoshwa na vitendo vya polisi wa usalama barabarani wakitembea na vitabu vya risiti huku wakipokea hela na kutoa risiti ambazo nina uhakika nyingi ni fake, hivyo kufanya mapato ambayo yanatakiwa yaende serikalini yaishie kwenye mifuko yao.
Mimi nashauri serikali ihakikishe hawa jamaa wanapewa hizo mashine ili hayo mapato yaonekane serikalini, kama viduka vidogo vya watu binafsi vina efd why not gvt.:A S angel::bange:
 
ngararumu

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
469
250
Ndugu zangu wanaJF, mimi nashauri hawa jamaa zetu Polisi wa Usalama barabarani wapewe mashine za EFD ili wazitumie badala ya kutoa risiti kutoka kwenye vitabu ambavyo kwa asilimia kubwa ni fake.
Jana saa 11: 45 pale fire nimeshuhudia polisi trafiki mmoja mdogo, mweusi akipokea hela na kuandika risiti ambayo aligomewa na dereva mmoja mwenye asili ya kiarabu, na akabaki nayo.
Kwani kuna ugumu gani kwa serikali kununua hizo machine, kama inaona rahisi kwa wafanyabiashara ndogondogo kuwa nazo.
Hiyo itasaidia sana kudhibiti mapato ambayo mwisho wa siku yanaishia kwenye mifuko yao.
 
kwediboma

Member
Sep 17, 2013
27
45
Kama wanaona ni shida sana zitolewe short code inayofahamika watu walipie huko kuliko kitendo cha kupewa kwanza notification zenyewe ni feki wamechapisha tu mtaani ndio maana kupata receipt kwa trafiki barabarani ni issue na vikwazo kibao ili mradi tu uone shida ulipe tu uondoke Hata receipt pia ni feki zilizo nyingi. Kitendo hiki huwa kinanikera sana maana hapa jamaa anachumia tumbo tu na hata kukupa warning hawataki ( hivi hawa jamaa hawajui maana ya polisi jamii???).
 
FuturePresident

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
322
195
Ndugu zangu wanaJF, mimi nashauri hawa jamaa zetu Polisi wa Usalama barabarani wapewe mashine za EFD ili wazitumie badala ya kutoa risiti kutoka kwenye vitabu ambavyo kwa asilimia kubwa ni fake.
Jana saa 11: 45 pale fire nimeshuhudia polisi trafiki mmoja mdogo, mweusi akipokea hela na kuandika risiti ambayo aligomewa na dereva mmoja mwenye asili ya kiarabu, na akabaki nayo.
Kwani kuna ugumu gani kwa serikali kununua hizo machine, kama inaona rahisi kwa wafanyabiashara ndogondogo kuwa nazo.
Hiyo itasaidia sana kudhibiti mapato ambayo mwisho wa siku yanaishia kwenye mifuko yao.

100%

na Hapo ndio utakapojua kweli wanania ya kupiga watu Faini?
 
mchatts

Member
Dec 19, 2013
97
195
Ni kweli hawa jamaa nao ni lazima wapewe efd machine maana tumechoka kuwanufaisha wao ni bora faini zetu ziingie serikalini
 
wildfish

JF-Expert Member
May 28, 2014
934
500
Hata wakitembea na hizo mashine bado hatutaamini kwa sababu tunaimani haba juu ya hawa watu hata wangetembea na c.i.g. barabarani kikubwa ni kutii sheria bila shuruti.
 
Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,162
1,500
Ndugu zangu wanaJF, mimi nashauri hawa jamaa zetu Polisi wa Usalama barabarani wapewe mashine za EFD ili wazitumie badala ya kutoa risiti kutoka kwenye vitabu ambavyo kwa asilimia kubwa ni fake.
Jana saa 11: 45 pale fire nimeshuhudia polisi trafiki mmoja mdogo, mweusi akipokea hela na kuandika risiti ambayo aligomewa na dereva mmoja mwenye asili ya kiarabu, na akabaki nayo.
Kwani kuna ugumu gani kwa serikali kununua hizo machine, kama inaona rahisi kwa wafanyabiashara ndogondogo kuwa nazo.
Hiyo itasaidia sana kudhibiti mapato ambayo mwisho wa siku yanaishia kwenye mifuko yao.

Aiseee hii itakuwa powa sana na tutatoa pesa zetu tukiwa na amani kuwa angalau hata kama zitaliwa zitakuwa zimeliwa kutokea kwenye chungu kikuu... ambacho labda kuna siku walaji watakuja kuwajibishwa lakini zinazoliwa kabla hazijajulikana hakuna wa kuwajibishwa!
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,350
2,000
Duh...EFD kabisa..wanavibeba kutembea navyo??!

J Smart ndogo tu wanawaibia sana ,hvi kama yule aliyebambwa Segerea c alikuwa anawaandikia watu fine wakati kumbe ye mwenyewe ni askari feki....
atatoa wapi risiti ya ukweli?
loo watumie EFD kwani hizo daftar wanabebaje?au waweke kituo unapigwa fine unaenda kulipa unapewa Risiti ya TRA
 
KOLOKOLONI

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
1,777
2,000
Je unao ushaidi wa ukisemacho? Mbona hukuwa na masha juu ya leseni yako ya udereva maana pia ulikuwa unapewa risiti katika ofisi mbalimbali wakati wa kufuatilia?. Kama huwa ushaidi ukisemacho naomba utengue kauli yako haraka maana huko ni kuwakatisha tamaa walinzi wetu wa nchi. Kama kweli unao ushaidi tuweke jf pia ripoti ofisi husika.
 
chiguluka line

JF-Expert Member
Mar 27, 2014
226
195
wazo zuri sana!
NI WAKATI SASA KWA SERIKALI KUANZA UTEKELEZAJI WA VITENDO KWA TAASISI ZAKE ZOTE IKIWEPO MAHAKAMA, MAGEREZA NA HASAHASA JESHI LA POLISI kutumia mfumo huu wa ukusanyaji fedha. NI ukweli usiofichika kuwa kiasi kikubwa cha fedha kinakusanywa jeshi la polisi kitengo cha Usalama Barabarani kila siku. ingawa sina hakika kuwa kinachokusanywa huwa kinafika sehemu husika ? hata ndani ya jeshi la polisi wenyewe vitengo vingine wanalalamika kuwa baadhi ya lisiti zinazotumika si sahihi, Hivyo ni muda muafaka SASA JESHI LA POLISI USALAMA BARABARANI KUANZA KUTUMIA EFD MARA MOJA....
I LOVE Tanganyika
 
kireri jr

JF-Expert Member
May 10, 2014
227
195
j smart ndogo tu wanawaibia sana ,hvi kama yule aliyebambwa segerea c alikuwa anawaandikia watu fine wakati kumbe ye mwenyewe ni askari feki atatoa wapi risiti ya ukweli loo watumie kwani hizo daftar wanabebaje?au waweke kituo unapigwa fine unaenda kulipa unapewa rist ya tra

ni kweli mkuu tumewachoka?
 
kibaa

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
719
225
mi nijuavyo ukifanya malipo serikalini stakabadhi inayotumika ni ile ya njano lakini hawa jamaa wnakuwaga na ile karatasi nyeupe yenye orodha ya makosa je ni sahihi kupewa hiyo karatasi kwa mlipo ya faini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom