Historia isiyofutika: Awamu hii ndiyo yenye teuzi bora

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,009
Ukweli ndio huo,huu utawala wa awamu ya tano ni utawala utakaocha alama milele
Kwanza raid kateau majembe haswaaa,Mnyeti,makonda,Gambo,mwanri n.k
Ukiangalia taarifa ya habari utaona jinsi ma dc na ma Rc walivyo na uchungu na nchi yao,wanakaripia mafisadi na wazembe huku wakitoa macho kwa ukali na mate kuruka mdomoni
Yees,huo ndiyo uzalendo,ni majuzi tu tumeona kwa uchungu mkubwa Rc wa DSM akisimamisha mabaraza ya ardhi ya kata akitoa sababu ya kwamba hakuna wanasheria wenye uweledi kwenye hayo mabaraza ingawa sheria inasema hakutakiwi kuwe na wanasheria kwenye hayo mabaraza
Hapo alichofanya Rc wa dsmkinaitwa THINKING OUTSIDE THE BOX,wateule wooote wa rais mpendwa JPM wana think outside the box, na ndiyo maana:
(1)Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani alipiga marufuku viongozi wa dini hata kusifia serikali maana anasema huwa wanasanifu(great thinking)
(2)Mnyeti hataki kushirikiana na wapinzani,wasimsumbue kabisaaaa huko manyara(great thinking,maslahi chama kwanza)
(3)........................................
(4)ma dc na ma rc wooote ni wakali mnoooo kama tunavyowaonaga kwenye tv,wengine hadi wanashisha vyeo walimu wakuu,haina haja ya kusubiri tamisemi wafanye hivyo maana mda wa kubembelezana umeisha(great thinking)
(5)hadi sasa tumejenga viwanda 3700 hadi 2025 vitakuwa mara tano yake(clap clap clap)

*Niambie ni Rais gani tangu nchi ipate uhuru amewahi kuteua wasaidizi imara na wachapa kazi kama awamu hii??
 
mwambie kabisa mwenyekiti wenu achukue wabunge na madiwani wote wa upinzani halafu wakaapishwe tu kwa chama chenu bila uchaguzi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom