Mwenye kujua historia ya Afande Chacha

Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,599
1,566
Habari Wana board?

Nakumbuka miaka ya 2001-2002 nilipata kusoma Jarida la JWTZ.

Kuna Yale majarida yao ambayo nadhani yanatoka Kila baada ya muda Fulani.

Sasa Jarida hilo lilikuwa Na habari ya Afande Chacha ambaye inasemekana alifariki kwa ajali ya gari akiwa kwenye majukumu yake ya kazi.

Lakini maajabu ni kuwa alikaa mochwari kwa muda wa wiki nzima, Na sababu ya mazishi kucheleweshwa ni kuwa kuna ndugu yake alikuwa akisubiriwa Toka nchi za Magharibi..

Kwa ufupi huyu Bwana, maada ya kukaa mochwari kwa muda wa wiki, ikaja kugundulika kuwa hakufa.

Kama kuna mtu anaifahamu hii habari atupe nje ndani ya habari hii...

Karibuni..
 
Hivi jeshi la wakurya ukitaja tu jina afande Chacha si unaweza ukapata maafande wengi wenye jina hilo!!!

Mleta mada huyu ni Chacha yupi unaliyemkusudia, je ni Chacha aliyekuwa afande Lugalo/ Makongo?
 
Ninachojua tu ni kwamba kwa lile baridi Kali na la Kiwango cha juu la zile Friji za Kuwekea Maiti Mochwari hata kama Mtu atawekwa mule bado hajafa / mzima ila akiwekwa tu Israeli Mtoa Roho hapo hapo anabonyesha Kitufe chake cha kusitisha / kukatisha ushirikiano kati ya Pumzi na Dunia kwa Mhusika.
 
Hivi jeshi la wakurya ukitaja tu jina afande Chacha si unaweza ukapata maafande wengi wenye jina hilo!!!

Mleta mada huyu ni Chacha yupi unaliyemkusudia, je ni Chacha aliyekuwa afande Lugalo/ Makongo?
Mkuu.. historia inajieleze... Swali lako halina mashiko kwa mtu anayeifahamu hii habari...
 
Hivi jeshi la wakurya ukitaja tu jina afande Chacha si unaweza ukapata maafande wengi wenye jina hilo!!!

Mleta mada huyu ni Chacha yupi unaliyemkusudia, je ni Chacha aliyekuwa afande Lugalo/ Makongo?
Hata hapo Lugalo/ makongo wapo kina Chacha wengi!
 
Huyu kweli alikuwa kamanda, lkn nakutamani sana jeshini na jkt siyo njia ya uhakika ya kuingia huko kwa siku hizi, unaweza kwenda ukabahatika kupata nafasi ya kuenda jeshini lkn pia unaweza kukosa nafasi ta kutumikia jeshini baada ya kukosa nafasi, mkataba mpaka unapoisha.Shida sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom