Nimekuwa natafakari ni kwa nini baadhi ya watu ambao ‘wameshatoka kimaisha’wanaonekana ni watu wenye stress, chuki na visasi wakati walitakiwa kwa vyeo, madaraka au mali walizonazo wawe watu wa...
Una coin hapo? Una buku hapo? Mara nitoe buku 3 kama unayo. Anapanda viwango mdogo mdogo, unaweza kuwa na buku tano hapo?
Kimsingi anakuwa anaomba hela fulani ambayo yeye anajua wewe unayo na...
Mzuka wana Jamvi!
Wimbi la watu kuombaomba hela Sana (wapiga mzinga) limeshika kasi. Japo Kuna wengine kweli wahitaji ila asilimia kubwa imeshakuwa tabia. Utakuta wengi wao Ni wachezaji...
Naomba msaada jinsi ya kufanya kwa wauza simenti karibu na nyumba ya kushi. Mimi jirani yangu anauza simenti na stoo yake kaiweka karibu na nyumba yangu yaani ukuta wangu na ukuta wa nyumba yake...
Serikali kupitia Naibu waziri wa habari na utamaduni na michezo Juliana Shonza imetangaza kumfungia miezi 6 Msanii wa filamu na muziki, Suzan Michael maarufu Pretty Kind kwa kuweka picha za utupu...
2-3 minutes
During a 7-day special operation, the police force also intercepted two Ethiopian nationals for illegal entry in the country. They were identified as Fuoub Banege and Abush Kebebe...
Sumatra,
Ni sahihi wananchi walio ndani ya Jiji (hardly 10 Kilometres) kulipa nauli ya shilingi 1000/=? Hivyo ndivyo tunavyokamuliwa wananchi tunaoishi Buza Kanisani na kufanya kazi au biashara...
Watu wengi hujikuta amefeli Interview kwa kuto kujua ni maswali gani atakayokwenda kuulizwa, wengi huwaza kuwa ataulizwa maswali ambayo yanaangukia kwenye somo lake au kozi ya aliyosomea tu...
"Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo"
Kwa sasa watoto wengi sana, hawalelewi na wazazi wao hata kama wanaishi nyumba moja.
changamoto za maisha zinawanyima wazazi Muda wa malezi ya watoto wao.
hivyo...
Mahakama ya Rufaa imesema Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) anapowasilisha hati kuzuia dhamana kwa washtakiwa kwa kukidhi matakwa ya kisheria mahakama inakuwa imefungwa mikono.
Uamuzi huo umetolewa...
Kuna machungu watanzania tunapitia na imenikumbusha ‘fact’ moja inayowatofautisha mtu mwenye cheo kama cha uraisi na mtu wa kawaida.
Kwa muda mrefu nimewaza hivi Rais mfano wa Marekani anaweza...
Viongozi wengi waliouwawa huko Kibiti na Ikwiriri na Mkulanga wengi walikuwa ni viongozi wa CCM wa serikali za mitaa zaidi ya 30 na kwa juhudi za Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya ulinzi na...
Pamoja na kupingwa sana uamuzi wa Serikali kuwapa kazi zote za serikali TBA, sasa madudu ya kutisha yanajitokeza.
Tukumbuke kuwa TBA Tanzania Buildings Agency, ni wakala wa nyumba za serikali...
Msajili wa Mahakama Kuu, Ilvin Mugeta amethibitisha taarifa za kifo cha Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Juma Kasailo
Chanzo: Mwananchi