Marafiki "omba omba"; unakabiliana nao vipi?

Marafiki "omba omba"; unakabiliana nao vipi?

Mzingo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
4,766
Reaction score
10,619
Una coin hapo? Una buku hapo? Mara nitoe buku 3 kama unayo. Anapanda viwango mdogo mdogo, unaweza kuwa na buku tano hapo?

Kimsingi anakuwa anaomba hela fulani ambayo yeye anajua wewe unayo na "haitibui" bajeti zako na haikuumi lakini ukijumlisha mwisho wa mwezi ni hela fulani si haba.

Sio hela ya kununulia labda dawa. Waweza kuta kanunulia kitu ambacho wewe hujinyima nacho ukisema ni matumizi yasiyo ya msingi design yuko na balimi miksa Mo energy miksa mdudu.

Mara kaja huyu mara yule. Mara nyingine kama wanaambiana vile. "mcheki fulani". Na ushikaji wenyewe sio ule wa kivile. Ukimcheki sio mtu ambaye labda unasema huyu nikipata shida halafu akawa nazo nitamuingia.

Tupeane mbinu za kivita kwa kweli.
 
Kumsaidia mtu sio tatizo

Tatizo ni kuwa unapo saidia hesabu kama haji kukulipa wema mbele maana ukitoa ukategemea akulipe wema utaumiza moyo wako
 
Mimi tuko nao kazini Ila Unaweza ukakuta wanataka niwanunulie Soda wakati maisha yenyewe ndo haya Ndevu zinajaa tu kila siku saloon ... Maisha yanazidi kusonga MTU bado hujaanza kumiliki assets
 
Be good to your people when going up, coz you gonna meet them on your way down, that's the way it is...
 
Mimi tuko nao kazini Ila Unaweza ukakuta wanataka niwanunulie Soda wakati maisha yenyewe ndo haya Ndevu zinajaa tu kila siku saloon ... Maisha yanazidi kusonga MTU bado hujaanza kumiliki assets
Hahaaaaaa
 
Hahaaaaaa
Jibu ni rahisi Mtazame machoni alafu mwambie sina ... Kama unaweza kutongoza demu na akakubali unashindwaje kumkazia mtu jicho na kumwambia sina!!?? .....


Nakumbuka sheria hii katika ujasiriamal

USIPENDE KUTEMBEA NA RAFIKI ULIOWAZIDI KIPATO,WATAKUTEGEMEA

Mtanisamehe aisee Ila nikiamuaga wanakulaga soda wote na huwa Mara Moja baada ya Miezi mitatu.... Tuheshimiane ... Mara jero Mara buku nipandie bajaji... Mara nitoe lunch bro [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
dawa usitokee kwenye zile sehemu unazojua watakukuta unatumia hela..mm huwa cku nikijisikia ata kula vyombo kdgo siendi sehemu nitakazo kutana na vizinga naenda sehemu iliyojificha na kazin pia sehemu zinazouzwa vinywaji na misos sifik sasa mtu akinikuta mazingira ya kawaida akitaka buku au jero atanipa yeye ..
 
Back
Top Bottom