Nataka niwapeleke BIKOSPORTS mahakamani

Nataka niwapeleke BIKOSPORTS mahakamani

Shin Lim

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
8,412
Reaction score
15,607
Hii kampuni huwa inanitumia msg za kubet kila siku yaani hadi zinafika sita.
Juzi jumatatu mke wangu alikuwa na shida ya hela fulani, na kwa kweli kwa wakati ule nilikuwa sina, nikamwahidi hadi jana asubuhi ndio ningempa.
Sasa jana mchana wife kashika simu yangu, mara ikaingia msg hii
Name/Number: BIKOSPORTS
Time: 02-27-2018 13:26:34
Content: Mpendwa mteja endelea kubet nasi ukifaidi huduma bora bila changamoto kupitia (wamewekaka tovuti) na (wameweka ussd code).Namba ya kampuni (wameweka no ya kampuni).Wasiliana nasi (wameweka namba)

Kwa kweli wife kwa mujibu wa hii msg kanihisi huwa nabet halafu yeye nimemwambia sina hela na uthibitisho ni huo. Sasa sijui hawa wash....i wametoa wapi namba yangu hadi kunisumbua kila wakati hadi imekuwa kero.
Bora kama ningekuwa nimewahi kubet nao. Kwa kweli wamenidhalilisha sana kuonekana mbetiji wakati sio. Yaani ni sawa na mtu anakuja kukutegeshea nguo ya ndani ya mke wa mtu kwenye mfuko wa suruali yako.
Safari hii tutakutana mahakamani.
 
Hahaaa! Stori JF, ela ya kula Biko. Maisha yamehamia digital, nawapa pole wamaopoteza pesa kununua mashamba sijui Bagamoyo mara Kisarawe! Wengine mashamba yetu yamehamia kwa Kanj bai...
 
Back
Top Bottom