Natamani siku moja nile lunch na Maxence Melo

Natamani siku moja nile lunch na Maxence Melo

MBITIYAZA

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
14,947
Reaction score
26,085
Habari wanajf..

Huwa namuona kama founder wetu kama kaka mwenye uthubutu na akili sana! Huwa nahisi yupo bright sana!(hata kwa kumuangalia tu)

Binafsi huwa napenda kukaa walau mara moja na vichwa kama hivi!

Nakuomba sana sana mkuu wangu, boss wangu Maxence Melo siku nikipata nafasi ya kuja huko New York ya Dar natamani mnoo nikutafute mchana kweupe tule pamoja chakula cha mchana niwakilishe wanaJF wa mikoani. Nipo makini na nikiongeacho!

Si mbaya tukaandamana na mwanaJF kindaki kindaki NAHUJA, Miss Natafuta na kichwa kimoja swissme !

Wako mnyenyekevu [HASHTAG]#mbitilicious[/HASHTAG] (naambiwa jina langu chachu).

HILI NI OMBI TU

Good Sun-day
 
Kweli huu mwaka mpya na mambo mapya... Mbiti ana matamanio mengi sana ambayo naamini mwaka huu atayatimiza tu. Kuna mtu ulikuwa unauliza namna ya kumshukuru ulisema alikusaidia daawa... Bila shaka umefuata ushauri wa kuhalalisha kumpa "shukrani" sasa zamu ya maximelo.... Sidhani kama atakosa muda wa kuja kula... Hata mimi ngepata tu.jinsi navyopenda kula... Anytime iwe asub,mchana ama usiku.atakula tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom