Taja Kero yoyote unayoipata kutokana na Huduma za Mabenki ya Tanzania

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Wana bodi Najua wote mnatumia huduma zakibenki hapa nchini,hivyo tutoe frusa hapa kutoa kero/maoni yako,kero unayokutana nayo katika benki husika, hili wahusika waweze kutambua katika maeneo yao husika yana kasoro ipi hili waweze kuzirekebisha.

Taja Benki na Kasoro.zao.
Asante.
 
Kwenye sim banking hapa ndio nilikutana na kero mpaka nikataka kugombana na watu wa benki ,kuna siku nilihamisha hela kutoka akaunti ya NMB kwenda tigo pesa mara tisa na kwabahati mbaya siku hiyo Network ilikua inasumbua.Siku ya pili baada ya Network kutulia kuangalia salio hela iliyobaki ilikua ndogo sana coz NMB hela ilitoka lakini Tigo pesa haikuingia lakini nilivyowafata wakanirudishia kiasi ambacho nilikua nakituma lakini charges zake hawakunirudishia nikawauliza kwanini hamnirudishi wakati gharama ya hiyo huduma haikukamilika eti wakaniambia system ndio ilivyo.Nikawauliza kama nyinyi mngeniingizia hela kimakosa kutokana na tatizo la Network msingeirudisha kwenu? System gani ya kisenge inafanya kazi kwamteja tu nilikasirika sana coz hela yenyewe ilikua ya BOOM.Yaani mpaka system za computer bongo zinafanya ka KiCCM CCM tu
 
Tunaogopa kuandika gazeti!
Ila haya..
  • kujivuta vuta kwa customer services
  • kuona kama wanakufanyia favor na siyo kazi yao
  • kujifanya wako busy na PCs au simu huku foleni ni kubwa mno
  • kutokuwa wabunifu kupunguza hizo foleni na maulizo
  • hawako friendly, kumkatisha mtu maswali na kumfanya asipate huduma stahiki
  • wapunguze makaratasi, watumie Technology zaidi
  • wakumbuke ile benki ipo pale sababu yetu, wanalipwa sababu yetu
 
Umemaliza kila kitu
 
Hila katika yote ni hili lakuweka kaunta 6 halafu tellers 2!huwa mimi sipati logic kwa hili!Na labda sijui utaratibu wa benki saa nyingine unakuta msururu wa watu lakini kule ndani wanazunguka matellers sasa kwanini mameneja wasiwaamlishe wakajaza madirisha na kupunguza foleni??
 
Tunaogopa kuandika gazeti!
Ila haya..
  • kujivuta vuta kwa customer services
  • kuona kama wanakufanyia favor na siyo kazi yao
  • kujifanya wako busy na PCs au simu huku foleni ni kubwa mno
  • kutokuwa wabunifu kupunguza hizo foleni na maulizo
  • hawako friendly, kumkatisha mtu maswali na kumfanya asipate huduma stahiki
  • wapunguze makaratasi, watumie Technology zaidi
  • wakumbuke ile benki ipo pale sababu yetu, wanalipwa sababu yetu

Mkuu believe me after 10 years to come banks zitaendeshwa kwa technology ya hali ya juu (automized systems) sana na kuondoa hao vikaragosi wote
 
Tunaogopa kuandika gazeti!
Ila haya..
  • kujivuta vuta kwa customer services
  • kuona kama wanakufanyia favor na siyo kazi yao
  • kujifanya wako busy na PCs au simu huku foleni ni kubwa mno
  • kutokuwa wabunifu kupunguza hizo foleni na maulizo
  • hawako friendly, kumkatisha mtu maswali na kumfanya asipate huduma stahiki
  • wapunguze makaratasi, watumie Technology zaidi
  • wakumbuke ile benki ipo pale sababu yetu, wanalipwa sababu yetu
Wana ujamaa hangover kwamba service provider ndie mfalme tofauti na ubepari mteja ndie mfalme
 
Back
Top Bottom