Jiwe la Msingi kwenye miradi linafaida gani?!

Mafwi Munda

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
1,750
Reaction score
1,605
Huwa naona na kusikia mtukufu kaweka jiwe la msingi ujenzi wa..., hili jiwe linamaana gani?! Ma engineer huwa mnasomea haya mavitu pia?! Ni sehemu ya mafunzo kwenye syllubus zenu?!
Kuna mengine yaliushafutika kwa maana yaliandikwa kwa chokaa, sasa huwa najiuliza kama ni ya muhimbu kwanini yasiandikwe kwa chuma?!
 
Hivi huko ulaya na marekani viongozi wa mataifa hayo nao huwa wanazindua miradi kama huku?!
Huko nao wanakopa WB na kuwaleta mabosi kwenye uzinduzi kama sisi kwenye ujenzi wa ubungo flyover?!
 
Hata Mimi sielewagi labda kumbukumbu tu kuwa kiongozi Fulani alihusika katika ujenzi wa jengo Fulani ambalo litakuwa kwa ajili ya matumizi ya uma
 
Ufunguzi unaleta maana kama mradi unaanza kutoa huduma. Lakini ujenzi? Haina mantiki na imekaa kisiasa zaidi.
 
Yana maana kiroho.....
Msingi unajengwa na nini.....
Usipoweka msingi wengine wataweka..
 
Hata Mimi sielewagi labda kumbukumbu tu kuwa kiongozi Fulani alihusika katika ujenzi wa jengo Fulani ambalo litakuwa kwa ajili ya matumizi ya uma
anahusikaje kujenga
 
Huwa naona na kusikia mtukufu kaweka jiwe la msingi ujenzi wa..., hili jiwe linamaana gani?! Ma engineer huwa mnasomea haya mavitu pia?! Ni sehemu ya mafunzo kwenye syllubus zenu?!
Kuna mengine yaliushafutika kwa maana yaliandikwa kwa chokaa, sasa huwa najiuliza kama ni ya muhimbu kwanini yasiandikwe kwa chuma?!
Ni kumbukumbu japo kiasili ni zindiko
 
Back
Top Bottom