HAKI NA USAWA:

HAKI NA USAWA:

yard

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2018
Posts
370
Reaction score
462
Nikiwa nime kaa natafakali kwa kina maneno ambayo watu wengi wana yaletea mzaha mzaha hivi:"eti oohh wa Tanzania waoga",mala wengine "kunawatu hatari ndani ya hili taifa".

Hii nikwa Wale wasiyo tumia akili kufikilia kinacho endelea ndani ya hili taifa nakujidayi kana kwamba hili taifa nila mbulula wengi haliwezi kuleta civil war.

Katika tafakali yangu nikawaza itokee siku moja akauwawa kiongozi mkubwa waserikali nawatu wasiyo julikana kisha waka acha ujumbe "tumeanza kulipa kisasi"

Kulingana nahuu utawala jinsi ulivyo hautasita kuwa chalaza risasi waupende wapili, nahapa nauhakika hapata kuwapo na maandamano kitachokuja kufuata ni man to man chama kwa Chama.

Ushauli wangu "machafuko yanchi siyo lazima maandamano Kama walivyo kalili vilazawengi wanaoshabikia ujinga ndani yahili taifa.

"Eti ooohh andamaneni muone kitacho wapata nyumbu nyie"

Machafuko yanakuja kwanjia nyingi sana tuwe kitu kimoja tuseme ukweli ili badae isije kutugalimu.

Yanayoendelea siyo yakushabikia "mzaha mzaha hutumbua usaha"kunawatu humu wanajitia upofu.

Cheyo ni zamana.
 
Back
Top Bottom