chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 12,047
- 34,869
Hili ni tukio kubwa lakini sioni likipewa attention na media, ni baada ya miaka mingi Sana kupita mlima Meru mkoani Arusha umeonekana kuwa na theluji nyingi kama Ile ya mlima kilimanjaro kwa kipindi cha siku mbili kuanzia jana 2nd January 2018 hata leo 3rd January bad theluji inaonekana tena kwa wingi zaidi.
Mlima Meru ni Mlima wa pili kwa urefu Tanzania na watano barani Africa
Mlima kilimanjaro nao umeonekana na kuongozeka kwa theluji mara dufu
Mlima Meru ni Mlima wa pili kwa urefu Tanzania na watano barani Africa
Mlima kilimanjaro nao umeonekana na kuongozeka kwa theluji mara dufu