ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,013
Baada ya bwana Musiba kutaja hadi watanzania wanaotumika na FBI, leo nimepata data za jinsi baadhi ya waandishi wa gazeti hilo hapo juu wanavyotumika na Mossad ya Israel ili kutufitinisha watanzania, maana tunavyoishi kwa upendo na amani iliyotaamalaki kila kona katika awamu hii tukufu ya tano imekuwa ni nongwa kwa mahasidi
Issue ilianza pale Tanzania ilipopiga kura kupinga Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel sasa jamaa wa Mossad wametafuta vibaraka wao na unaona mwenyewe heading hiyo?
Kwanza si ilishakatazwa kusema hilo neno la vyuma vimekaza? Mambo ni mazuri bana, washtakiwe kwa ile sheria ya takwimu, ni hatari sana watu hawa.