Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

hivi kuna mtu anajua matokeo ya uchunguzi wa tuhuma alizotolewa na ripoti iko wapi?>
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari wana Jf! Naombwa kujuzwa nini kilikuwa lengo hasa ya kuanzisha inspirations na motivations speech, hadi kuelekea watu kuanza kuandika vitabu? Je tofauti na faida ya kumjenga kiimani ni...
2 Reactions
72 Replies
8K Views
Please Please Mods , usiunge thread hii , tunahitaji kujua kilicho nyuma ya pazia kati ya hawa watu wawili. No way . Kuna kitu nyuma ya pazia , Diamond hajawahi kuwa mwepesi kiasi hicho kurusha...
3 Reactions
68 Replies
11K Views
Matukio ya kupigana picha na kuchukuliana video wakati watu wanapeana 'kitu kidogo' yalishamiri sana kipindi fulani watu wakawa wanakosa kazi na kushtakiwa! Ilianza kurekebisha tabia ya matrafiki...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Je hii vita baridi kati ya Diamond vs Juliana Shonza yaweza kuwa plan ya kuwatoa watanzania kwenye mstari kuwasahaulisha sikukuu ya muungano tarehe 26/04/2018? Diamond anapata huo ujasiri wa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwenye somo la "Police Science" kuna kipengele cha "Riot Control",hapa unakuwa unapata maelezo yote yenye uweledi ya namna ya kuzuia maandamano ya raia walio na silaha na wasio na silaha. "Police...
37 Reactions
72 Replies
11K Views
......
1 Reactions
15 Replies
2K Views
BAADA YA MALALAMIKO YA WANANCHI MALORI YNAARIBU NJIA ...SERIKALI INAPOTEZA MAPATO YA MCHANGA NA HUKU WALISHAJULISHWA kin ACH ENDELEA MH MAKONDA WANANCHI WANAOMBA MSAADA WAKO KUJUAA HAWA...
0 Reactions
3 Replies
776 Views
Vidonge vya kuzuia mimba maalumu kwa wanaume viko mbioni kupatikana. Chuo Kikuu cha Washington tayari kimefanyia majaribio dawa hizo kwa kutumia nyani na kupata matokeo makubwa. Sasa hivi...
1 Reactions
101 Replies
10K Views
Hiki ndicho tulichofundishwa udogoni na hata shule za msingi na sekondari... Huu ni msemo wa hekima wa wahenga kwamba tafsiri ya mkono mrefu ni wizi yaani mwizi kwa tafsiri nyingine ni mtu mwenye...
7 Reactions
34 Replies
6K Views
Nimesikitishwa kuambiwa kuwa kuna story yangu moja ambayo niipost hapa jana saa 7:20 mchana kwa saa za afrika mashariki na kati kuna mtangazaji mmoja aliirusha kwenye redio yake usiku pasipo...
30 Reactions
159 Replies
21K Views
Kumekuwa na ukosefu wa maeneo ya kuzikia wafu. Maeneo yamejaa. Watu wanazikwa kwa kubanana na wengine kuzikwa juu ya kaburi la mfu mwingine. Nashauri watu wawe wanazikwa huku wamesimama ili ku...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Wasambaa /Wazigua /Wabondei ni watu wa ajabu sana! Tanga Mjini baiskeli ni nyingi kuliko watu. Mpaka zinasimama kwenye mapitio ya waenda kwa mguu yaani 'Zebra'. Baiskeli zinakuwa foleni nyuma na...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
nakumbuka alipo shambuliwa raisi wa TLS albadiri ilisomwa lakini matokeo yake sija ya shuhudia hivi kweli ilitoa matokeo jamani mimi natamani nijue
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za jioni Series mpya ya kiswahili! ina hadithia mahusiano ya binti Hariri na mchumba wake Aaron. Familia yake Aaron hawamtaki Hariri na wamempangia msichana mwingine wa kuoa! checki hapa...
1 Reactions
1 Replies
773 Views
Habari za jiioni wana Jamvi,napata wakati mgumu sana kutumia hii wovuti ya Kujiunga ili kupata Salary slip.http://http://www.utumishi.go.tz/watumishiportal/signup/signup.php. Nina zaidi ya week...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tuweke itikadi zetu za kisiasa pembeni, katika wabunge waliopo hivi sasa, hata wale ambao wana nafasi nyingine serikalini ni wabunge gani ambao unawakubali kifikra,jinsi ya uwasilishaji Wa hoja...
0 Reactions
1 Replies
779 Views
Ni muda sasa sijamsikiaa huyu mzee.. Nilisikia kapewa ubaloz wa shirika fulan nmesahau jina.. Mzee aliejua ku deal na media...mzee aliejua kujifaidisha na kiki... Kapiga hela zake kwenye media na...
1 Reactions
3 Replies
819 Views
Jamani nilipigwa faini ya makosa barabarni ya tsh 30000/ lakini kitu kilicho nishangaza nikapewa risiti ya karatasi iliyo andikwa kwa mikono,lakini taasisi nyingi zinatumia hizo mashine kwa mujibu...
0 Reactions
3 Replies
763 Views
Ndugu zangu Makonda acheni tabia hii ni mbaya sana yaani haifai. Ndugu zangu wana JF, sitaki kuwachosha sana, mimi nachukia sana hii tabia mbaya ya ndugu zetu makondakta ya kujisahaulisha...
0 Reactions
6 Replies
866 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…