Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Matukio ya kupigana picha na kuchukuliana video wakati watu wanapeana 'kitu kidogo' yalishamiri sana kipindi fulani watu wakawa wanakosa kazi na kushtakiwa! Ilianza kurekebisha tabia ya matrafiki wengi wapiga 'chambi'.
Hivi bado hawa jamaa wanapokea kitu kidogo ukikutana nao kwenye movements huko mtaani?
Na je huwa unawapa kwa mtindo gani ili usinaswe?
Hivi bado hawa jamaa wanapokea kitu kidogo ukikutana nao kwenye movements huko mtaani?
Na je huwa unawapa kwa mtindo gani ili usinaswe?