floow
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 411
- 858
Vidonge vya kuzuia mimba maalumu kwa wanaume viko mbioni kupatikana. Chuo Kikuu cha Washington tayari kimefanyia majaribio dawa hizo kwa kutumia nyani na kupata matokeo makubwa. Sasa hivi, majaribio yanaendelea kwa binadamu na matokeo ya utafiti yanatarajiwa kutolewa muda si mrefu na chuo hiko.
Hii imekaeje
Je ? Nisahii mwanaume kutumia vidonge vya uzaz Wa mpango, endapo vitaruhusiwa rasmi?
Hii imekaeje
Je ? Nisahii mwanaume kutumia vidonge vya uzaz Wa mpango, endapo vitaruhusiwa rasmi?