Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,984
Wanabodi,
Shirika la Bima la Taifa limewafukuza bila hata kuwapa notice wapangaji wake huko Masaki na Mikocheni siku ya Alhamisi wiki hii.
Tukio hili lilitokea siku ya Alhamisi mchana kuanzia saa 8:00 mchana.
Ilivyokuwa, Shirika la Bima liliuza nyumba zake kwa PPF huko nyuma. PPF wakawa wanahitaji nyumba zao wapangaji hawa walikuwa wanaenda mahakamani kuweka zuio la kuhamishwa hapo. Shirika la bima likawa halipati pesa toka kwao kutokana na kuwepo kwa kesi ya msingi.
Rais Magufuli aliitisha kikao cha siri na Mkurugenzi wa shirika na kuwataarifu wafanyakazi wa bima kuwa uhamishwaji ufanyike kwa dharura bila notice wala kuandikwa popote.
Walivamiwa na askari wenye silaha za kivita hapo Alhamisi na ni muda ambao mahakama ilikuwa imemaliza shughuli zake. So ilikuwa vigumu kuweka zuio.
Wapangaji hawa wakiwemo majaji, wafanyabiashara, watumishi wa umma na watoto wa vigogo wameisoma namba.
Polisi walikuwa 46 na Yono walikuja na mabaounsa pale.
My take: Uvunjifu huu wa haki za kiraia ni mpaka lini jamani?