Ajali Morogoro IpoIpo center Mazimbu

Ajali Morogoro IpoIpo center Mazimbu

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,712
Reaction score
8,769
Kuna ajali imetokea Leo maeneo ya Ipo ipo center Mazimbu,Morogoro ikihusisha Lori aina ya Scania

Ajali imetokea majira ya SAA 5 asubuhi ikihusisha scania baada ya kuvamia maduka mawili moja la madawa na min supermarket

Hakuna vifo ila kuna majeruhi kadhaa

Dereva la Lori alikua kwenye road test gari ikamshinda akaparamia haya maduka na kufanya uharibifu kama mnavyoona pichani
IMG_20180319_181335.jpg
IMG_20180319_181118.jpg
IMG_20180319_181040.jpg
IMG_20180319_181019.jpg
IMG_20180319_181001.jpg
IMG_20180319_180942.jpg
IMG_20180319_180914.jpg
IMG_20180319_180855.jpg
 
Midereva ya Morogoro bana, Hovyooo. Yaani haijitambui kabisaa
 
Hayo maduka kila mwaka lazima yagongwe na magari tena karibu kila siku nguzo ni hizo hizo 5 za mwishon, kasoro kwa huyo mama wa duka la maduwa huwa haguswagi.
 
Mwaka jana kidogo nife, nimenusulika Mara mbili hivi hapo hadi Kuna madada wa saluni mabonge wako wawili wakazinduka wakiwa hospital ya mkoa.
 
Back
Top Bottom