Supu ya pweza ni kichocheo ama energizer ya kushawishi watu kujamiiana hata kama hutaki kufanya mapenzi.
Kwa sisi wenyeji wa mikoa ya Pwani tunajua madhara ya hii kitu hasa kwa watoto wetu wa...
Utajiitaje Msomi wakati huna pesa na mambo madogo madogo yanakushinda kutatua tena at family level? Usomi wako unakuwa hauna maana!
Kwanza siku hizi Watanzania hawana interest ya kujua usomi wa...
Nina matatizo ya mwanangu alikataa kunyoa. Shule ya sekondari aliyokuwa akisoma walimu wa nidhamu wameniita maana imefikia mpaka walimtenga mwanafuzi kumfundisha na akafanya vibaya sana kwenye...
"Hata sijui nilipata wapi ujasiri wa kupenya katikati ya watu hadi kufika kule mbele, ingawa kulikuwa na ulinzi mkali lakini nilifanikiwa na kupata sehemu japo ya kusimama na kumsikiliza Waziri...
Binafsi nilianza kuifahamu Jamii forums tokea enzi ile inaitwa jambo forums, ingawa kwa muda wote huo mpaka kufikia 2012 nilikuwa msomaji tu.
Baada ya kuwa na account rasmi, niliendelea kuangalia...
Hapa nimekuwekea takwimu zilizotolewa na Umoja wa Mataifa kutoka World Population Prospects mwaka jana 2017 zikionyesha makadirio ya idadi ya watu katika nchi husika.
China inaongoza kwa kuwa na...
Karume stands by daughter in land row Send to a friend Sunday, 02 January 2011 09:11 digg
By Salma Said, Zanzibar
The retired Zanzibar President, Amani Abeid Karume has defended her daughters...
Habari zenu wanajamvii...
Kwanza ni declare inerest kuwa mimi ni msomaji na mfatiliaji wa Makala na Post mbalimbali za huyu mwanadada, nimekuwa nikiona mara nyingi anavyoikosoa serikali pia namna...
MFANYAKAZI wa ndani (hausigeli) aliyefa-hamika kwa jina la Katalina John anayefanya kazi hizo kwa Lyina John (30) mkazi wa Mhongolo wilayani Kahama, mkoani Shinyanga amejikuta akichezea kichapo...
Nimejaribu kuanza kuandika visa habari kwa kutumia majina ya wana-JF. Tafadhali soma, angalia jina lako au la mwenzako lilivyitumika, furahi kisha nawe fanya mwendelezo.
Ni kama vile Sijali, na...
Gari bovu linachefua usiombe msiwaone watu wako barabarani wanavumilia mkazani wanafurahia.
Usiombe gari iwe inachemsha acha kabisaa stress zake, Mtu anaendesha huku anamawazo hadi analia...
Miaka ya huko nyuma nilikuwa nikiwachukia sana ' Madikteta ' akina Idi Amin Dada wa Uganda na mwenzake Charles Taylor wa Liberia bila kumsahau Kiongozi wao Mkuu Adolf Hitler wa Ujerumani kwa yale...
Speed imekuwa kubwa sana kwa bodi ya mikopo kukusanya madeni hasa kwa kuwahusisha waajiri mbalimbali.
Nimekuwa nikijiuliza, hivi mbona sioni harakati za kuwabana wale ambao wamejiajiri wenyewe, ...
Huwa nikiwaangalia hasa ' Mabodigadi ' wa Rais, Makamu na Waziri Mkuu ambao kimsingi wanatokea PSU ndani ya TISS kisha nikija kuwaangalia hawa ' Mabodigadi ' wa Viongozi wa Kidini / Kiroho naona...
Juzi Rais mstaafu Mzee Mkapa alitaka iundwe Tume na uitishwe mjadala wa kitaifa kuchunguza chanzo cha kuporomoka kwa elimu nchini. Rais Mkapa alistaajabu inawezekanaje mtu anahitimu darasa la saba...
Ni takribani imepita miezi mitatu tangu Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilipoagiza Wamiliki wa Ving'amuzi; Continental, Ting, Digitek na Star times waonyeshe Channel za nyumbani hata kama...
Kiteto. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto, Mkoani Manyara, Tamim Kambona amemsimamisha kazi Ofisa mifugo wa wilaya hiyo William Msuya kwa tuhuma za ubadhirifu wa shilingi 60...
Nasikia kuna ajali mbaya Morogoro mmiliki wa Villa Park hotel ya Makambako amekufa papo hapo na mpenzi wake ambaye hajajulikana kutokana na mwili wake kusagika, ajali imetokewa usiku usiku wa leo...