Meck Sadick na Christopher Mwita wakiteta jambo

Meck Sadick na Christopher Mwita wakiteta jambo

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
400
Reaction score
472
Mkuu wa mkoa( mstaafu )wa Kilimanjaro,Sadick Meck Said,akisisitiza jambo kwa Christopher Mwita Gachuma,walipokutana Jana jijini Dar es salaam. Anayesikiliza pembeni ni Santosh Vahile (Picha na mpiga maalum)
IMG_20180321_085358.jpg
 
Kuhabarisha jamii

Mbona hujatuhabarisha ' Mkutano ' wako na Wakwe zako juu ya Wewe kushindwa kumalizia ' mahari ' ya Binti yao huu sasa mwaka wa 10 huku ukizidi tu ' Kumtindua / Kumshindilia ' Kibaiolojia?
 
Back
Top Bottom