Blandina Nyoni ni NANI! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Blandina Nyoni ni NANI!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by utiyansanga, Apr 28, 2011.

 1. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Blandina Nyoni ,KATIBU MKUU wizara ya afya ,ambaye pia aliwahi kuwa mhasibu mkuu wa serikali ,na kuwa katibu mkuu wizara ya mali asili ni mojawapo ya wanawake maarufu nchini,
  Pengine labda kutokana na nyadhifa alizoshika mf Mhasibu Mkuu wa SErikali na kM wa wizara kubwa mbili.Lakini haiba yake ya kama kiongozi imemjengea hali ingine inayofanya wadadisi kujiuliza huyu mama ni nani!
  Achilia mbali kuwa ni Board member wa WAMA,NGO Ya Mama Salma Kikwete iliyopo Ikulu!sijui alipenyaje huko!lakini matendo yake akiwa KM yanatia mashaka kama kweli huyu ni katibu mkuu kama wengine!niHebu angalia mifano hii ya maamuzi akiwa wizara ya afya!....
  Kwa miaka 2 mama huyu amefanikisha wizara kutumia zaidi ya Sh.Billion 4 kushiriki maenesho ya Sabasaba na Nane ambako amekuwa akifanya kufuru kubwa.
  Mfano mdogo mmoja ni sare ,mama Blandina amewezesha wizra ya afya kuwanunulia washiriki wapatao 1000 suti jozi 6,ambazo thamani yake ni karibu shi Bilioni 2.7!nguo hizi zimekuwa zikiletwa na Duka la Mariedo moja kwa moja toka Uingereza.!Maswali ya kujiuliza hapa je haya ni matumizi yaliyohalalishwa na bunge kweli ,kumbuka Bilioni 2.7 zingeweza kununua vitanda 2700! vya hospitali kwa bei ya Tsh.1,000,000 kila kitanda ,natumaini kwa mtaji huu shemeji,wifi,wake ,mama,shangazi zetu wasingekuwa wanallala chini kule AMAna,Ilala na MUHIMBILI!
  jAMBO LINGINE LINALOTIA MASHAKA NI MCHAKATO WA MANNUNUZI UANAOFANYIKA!LICHA YA KUWA FEDHA HIZO HAZIPITISHWI NA BUNGE LAKINI NAMNA AMBAVYO KAMPUNI YA MARIEDO IMEKUWA IKISHINDA ZABUNI HII KWA MIKA MIWILI MFULULULIZO NI MASHAKA MATUPU!
  KUTOKANA NA MFANO HUU TU MDOGO NAOMBA WADAU MNIFAHAMISHE HUYU MAMA ANATOA WAPI NGUVU HII YA KUNUNUA NGUO ZA MAENESHO KWA VITANDA VYA HOSPITALI 2700!
   
 2. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Hili ni jambo zito kidogo, Una hakika na takwimu unazotoa? Mfano washiriki wa maonesho ya 77 wapatao 1000, ambapo kila mshiriki anapata jozi 6 za suti ?
   
 3. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naam wasiriki 1000,kumbuka ni miak miwili,wanaweza wakawa walirudia mika 2 lakini walipata jozi 6 za excutive suit toka UK KUpitia Mriedo!inaweza isiwe excttly hao lakini huu ni ukweli na kama ni mdau /mtembeleaji wa maonesho hayo utakumbuka kwenye banda la afya kuna nini./!kumbuka haya ni sare tu achilia mbali mapambo ,vyungu vya maua hubebwa toka dar !na hapo sijazungumzia posho !
   
 4. k

  kabombe JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 15,640
  Likes Received: 8,605
  Trophy Points: 280
  Vita ya kibiashara unaleta huku.kwani yeye ndie purchasing officer?
   
 5. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Blandina Nyoni aliwahi kuwa mhadhiri Mzumbe university, akafanya kazi USAID, kabla ya kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali, alikuwa kamishna TRA. Yeye ana sifa ya kufuatilia watu wake wa chini kwa kweli anaijua kazi yake ipasavyo:smile-big:
   
 6. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa tafakuri yako umejitahidi kwani ndio upeo wako !.uANAelewa maana ya purchasing serikalini +mchakato wote !Hii si vita ya biashara ni tafakuri ndogo ya kutusaidia kuuchambua umaskini wetu hebu tafakari hizo ash.zingeenda kunuua mashuka ya hospitali !
   
 7. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli anaijua kazi yake ,kufanya manunuzi ya aina hii,tena ya anasa ili hali mama wajawazito wanagalala chini Amana!
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
 9. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 10. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0

  Kweli magamba ya ccm ni mengi bila msasa wa chuma hayatatoka kamwe hata wavue namna gani
   
 11. u

  urasa JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mke wa jamaa anayefanya BOT,na kimada wa mamvi
   
 12. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Ngoja tuwape mwana halisi hiyo nyeti waichambue vizuri
   
 13. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #13
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
 14. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wakubwa hawawezi kufanya chochote kwa ufisadi wa huyu mama kwa sababu wao ndiyo waliomuweka na anatekeleza matakwa yao. Hapa Muhimbili hospital anataka kuwanunuli wafanyakazi wote wote wa hospitali ya taifa sare zilizonunuliwa kifisadi toka duka la Mariedo.
   
 15. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Nakweli anaijua kazi yake vema.Maana huko hospitali ya RUFAA ya mkoa wa Dodoma WAZAZI wanaojifungua hulala sakafuni na huku VICHANGA VIsivyopungua 10 hulazwa kitanda kimoja tena bila shuka,Na kwa wajawazito 4 ktanda 1,unaegesha kichwa tu! Tumbo lako stendi mikono yako! AMA KWELI ANAIJUA KAZI YAKE!
   
 16. k

  kabindi JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sidhani kama ni vibaya kununulia watu nguo nzuri wakapendeza! ILA Naelewa concern yako! Matumizi mabaya ya Pesa za walipa kodi! maana hapa lazima tuzungumzie Priorities! Huwezi kuacha huduma muhimu za Hospital kama Vitanda, Madawa, magari ya kubebea wagonjwa na watumishi na mioundombinu chakavu kwa ujumla eti ukanunua suti za billions of Money!!! na siyo suits tu! pia wafanyakazi hawa walinunuliwa pairs za fulana na allowance za kujikimu wakiwa Sabasaba Dsm na Nane nane Dodoma! THEN IT IS A BILLIONS OF MONEY!. Nilichosikia ni kwamba taasisi zilizochini ya Wizara ya Afya walitakiwa kutoa michango yao kwenda Wizarani kwa mamilioni ya pesa!! lakini kwa kuwa taasisi hizo ni za Serikali bado pesa hizo zinabaki kuwa za serkali. Sasa wanatoa mamilioni ya pesa kiasi hicho katika kununua nguo wanashindwa hata kununua magari ya kubeba watumishi wao! maana utawakuta wakati mwingine wakiomba lift au wakiwa vituoni wakinyeshewa na mvua au kuunguzwa na jua! TFNC ndio naona angalau wana Bus design ya Babako analo?! Wanaweza kuwa na nia njema ya kujitangaza na kuwaonyesha wananchi kazi wanzofanya! lakini kwa gharama ipi na kwa pesa za nani?! na mbona ufanisi ni hafifu. Si wangeweza kununua Fulana na Kofia tu kwa gharama nafuu km wangetaka kuvaa uniform?! Thanks UntiyaniSanga umeliona hili! na lazima lifuatiliwe kwa karibu!
   
 17. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  ...Nadhani anahitaji umakini zaidi, gazeti la Majira la tarehe 26/04/2011 ameorodhesha list ya Madaktari bingwa na kuwapangia vituo hospitali za mikoa, wakaandika na hospitali waliopo kwa sasa ambazo wengi walishatoka huko, walioorodheshwa wengine walikuwa discontinued wakati wakisoma huo udaktari bingwa, wengine bado hadi leo hawajamaliza lakini wametajwa kama madaktari bingwa na kutakiwa kuripoti vituoni....hapo umakini uko wapi??, wengine wameendelea kusoma Masters of Science kama mambo ya Moyo, Figo.., wengine ni walimu katika chuo kikuu kipya cha UDOM chenye course ya udaktari, au alitegemea wafundishwe na nani? Wengine ni walimu hapo Muhimbili, au ulidhani hao wazee hapo watafundisha milele na kuongeza mikataba kila siku bila kuandaa walimu vijana???? Hivi huko wizarani hakuna kupitia files za waajiriwa wao wajue wako wapi hadi wanawapangia vituo mara mbili mbili??? wengine kuandikiwa ubingwa tofauti na waliosomea..... hapo kwa mtazamo wangu hakuna umakini... tafuteni hili gazeti na wengine jina moja wamepangiwa vituo viwili sasa sijui anaripoti kituo gani.....hapo penye red napata wasi wasi
  Pili aliongelea kufutiwa usajili... hapo mama alichemka nadhani apitie sheria kidogo.. mwajiriwa anafutiwa usajili na Medical Association of Tanganyika kama atabainika kufanya professional misconduct.. hafutiwi usajili na wizara ya Afya..... ushauri.... ni vyema wakajaribu kupitia file za hawa madaktari, kuwasiliana na vyuo vyote vya serikali na vingine, hospitali zote za serikali na nyingine, kwa na mashirika... kwa mtindo huu mtajua madaktari wenu bingwa wanatoa huduma wapi...Kazi njema, natumaini huwa unapita humu kama hupiti huenda watendaji wako wanapita humu jamvini na watakupa ujumbe.....usifanye kazi kisiasa kisa waziri kaulizwa bungeni kwa nini madaktari bingwa hawapo hospitali za mikoa na wewe unakurupuka na kubandika majini magazetini... kwanza hizo hospitali umeziwezesha kufanya kazi na hao bingwa au wataenda wabaki kuzurura huko??? vyumba vya upasuaji bora, vifaa vya kutosha, vipimo... naangalia pesa alotumia kununua suti wakati wa 77 ungeweza kuimarisha sana hizo hospitali za mikoa unazotaka mabingwa wako waende.
   
 18. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Ni vigumu kidogo kumkosoa huyu mama peke yake kwa kuzingatia mfumo uliopo, Kwa kuwa matumizi ya jumla ya Serikali wote tunayajua. Tungeanza na kuthibiti ununuaji wa magari ya kifahari, kama gari moja linatugharimu zaidi ya milioni 250 wakati hela hiyo ingetosha kununua magari mengine 5, priority ipo wapi? Tunaacha kujenga barabara, tunawekeza kwenye kununua magari imara yanayoweza kupita barabara mbaya, sijui huwa tunaamini kitu gani
   
 19. Mr. Politician

  Mr. Politician Member

  #19
  May 1, 2011
  Joined: May 16, 2008
  Messages: 74
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Huyu mama ni fisadi mkubwa akishirikiana na familia ya bwana na Bibi Mkubwa ( Kaka na Mashangaza) katika kuteketeza hela za walipa kodi. Hawa wamekua wakipewa tenda mbalimbali kutoka wizarani bila kufuata sheria ya manunuzi
   
 20. K

  Kasesela Member

  #20
  May 1, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF,
  Fanyeni uchunguzi wa kina, huyu mama si kwamba ana weledi au umahiri kuliko wataalam wanawake/wanaume wengine Tanzania; nguvu zake zina mizizi jikoni penyewe. Fuatilia neno la kitaliano "nepone" na umufuatilie mzee msaidizi nambali wani pale ndani jengo la magogoni utapata jibu mahususi.
   
Loading...