Nimeumia sana kukosa Commonwealth scholarship

Hashimu lwenje

JF-Expert Member
Oct 2, 2017
415
359
Hivi ni kweli watanzania huwa tunakosa Commonwealth Scholarship?
Nimetumia muda wangu na pesa zangu nyingi kuapply commonwealth Scholarship, ambazo zilitangazwa na TCU lakini nmesikitika sana kuandikiwa email leo kuwa HAUJAFANIKIWA KWASABABU WIZARA YAKO YA ELIMU HAIJAWEZA KUKU NOMINATE.

Nimeskitika sanaa,
Haina haja ya kunitangazia Scholarship mtoto wa maskini alafu unashindwa kuni nominate, natumia gharama zangu nyingi kujaza form tena usku, kuscan, kuprint, kusatifai vyeti, pamoja na gharama za kutuma posta, lkn bado tena naikosa.
 
Wanawapa ndugu zao kwanza mkuu...omba zingine...China wametoa nyingi apply hizo
ahsanteni sana ndugu zangu, hawa Wizara ya elimu wanatupotezea muda tu, hizo scholarship wamekua wakizitangaza lkn hata na watu wenye sifa tunakosa, ila Mungu anawaona.
 
Mkuu labda nikueleze tu, Tanzania hii ni zaid ya uijuavyo ukiona ufadhili wa masomo umetoka kupitia serikalini kama upo nje ya serikali wala usipoteze muda kuomba

2. Hata huyo waliompa hawezi kupita NAKUHAKIKISHIA mchujo wa huo ufadhili ni zaidi ya mchujo wa kuingia ikulu ya Trump acha kabisa
 
Back
Top Bottom