Kinachoendelea mto Kawe muda huu ni cheni ndefu ya kutisha

Kinachoendelea mto Kawe muda huu ni cheni ndefu ya kutisha

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
WANANCHI WOOOTE LEOO WAMESHUKA MTO KAWE KUMLALAMIKIA DIWANI MUTA KWA UPUUZI UNAOENDELEAAA

YALIOONGELEWA KWA KWELI N KWAMBA VILE VIJIKO KULE.MTONI N VYA WATU WANENEE TOFAUTI NA TULIVYOFIKIRIAA

MPAKAA USIKU HUU WA MANANE WALE WA TV MNAWEZA KUJA KUANGALIA NJIA YA KUINGIA MTO KAWE MWISHO WA UKUTA WA HON MBOMA ALIEKUWA MKUU WAMAJESHI KUMEJAA MALORI KUANZIA CHINI MPAKA JUU

TRA WANAJUA KINACHOENDELEA MANISPAA WANAJUA KINACHOENDELEA NA HIVI SASA MAGARI MANNE YA WANENE WAKIONGOZWA NA KIJANA MMOJA AMESHUKA KUJA KUPOKEA PESA ZAO ZA MCHANGA HUKU WAKIHESABIWA IDADI YA MALORI NA VIJANA WAWILI WANAOLIPWA ALF HAMSINI KWA SIKU KILA MMOJA

HAKIKAAA KINACHOENDEELEA NAWAZA MARAMBILI NANI YULO NYUMA YA PAZIA ??MNATIA AIBUU KABISAAA KANA KWAMBA HAKUNA KIONGOZI KWENYE MANISPAA HII

KWELII WAHUNI WANAKUJA KUKUSANYA PRSA ZA MCHANGA NA KUPELEKA VIJIKO VYAO UNAHISI WAKO WENYEWE N CHENI NDEFU KUBWAA

HIVISASA MALORI YAMEJAA KULIA NA KUSHOTO USIKUHUU YAKISUBIRIA KUBEBA MCHANGAAA INANIKUMBUSHA MAISHA YA BURUNDI INASIKITISHA SANA

LAMI NZIMA KWA WENYE TV MNAWEZA KUJA ONA WENYEWE LAMI YA TANKIBOVU KUFIKA MWISHO WA UKUTA WA MBOMA ZIMEANZA KUDIDIMIA NA NYINGINE KUBOMOKA KABISA SIJUI NANII ANAKUJA JENGA
 
acha zengwe wewe, kama hauna lori nenda kakojoe ulale
haujui kama malori mchana yanaongeza foleni mjini so inabidi yafanye kazi usiku?
tatizo watanzania mmezoe majungu na fitina na uchochezi
sasa huo mchanga wakiuacha wewe hauwezi kuujengea wala kuuza
daah yaani wewe na mafarisayo damdam
 
Leo jakuna mechi ulaya, poa ni ijumaa hivyo hao wananchi wameenda huko kushangaa malori na vijiko wala hakuna lingjne
 
Kama skosei@pdidy ashalalamika sana Kuhusu sakata la hapo Mtoni kawe

Ova
 
Wanaruhusu uchimbaji wa mchanga ambao ndio chanzo cha daraja la mto KAWE kuharibika kila masika!! Makonda yuko wap wakati wachimba mchanga wanaharibu mazingira au anangoja daraja livunjike ndio aje na waandishi wa habari na mitambo ya video akionekana kuhimiza ujenzi?
 
Kutokana na Agizo la Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu ambaye pia ana dhamana ya mazingira. Ameagiza mito woote isafishwe mchanga kwa sababu ya mafuriko,nadhani wanakandarasi ya kutoa mchanga mito yoote kwenye jiji la Dar es Salam.
 
Yule mkuu wa wilaya si anazo taarifa yule ndugu Hepi. Sasa ninyi mwakerwa na nini ? Au kisa hamna mgao ??
Lori sio lako. Kijiko sio chako. Barabara sio yako. Tanzania sio yako. Uwezo wa kujenga Mbezi bich huna. Acha wachote tujenge Dar yetu.
 
WANANCHI WOOOTE LEOO WAMESHUKA MTO KAWE KUMLALAMIKIA DIWANI MUTA KWA UPUUZI UNAOENDELEAAA

YALIOONGELEWA KWA KWELI N KWAMBA VILE VIJIKO KULE.MTONI N VYA WATU WANENEE TOFAUTI NA TULIVYOFIKIRIAA

MPAKAA USIKU HUU WA MANANE WALE WA TV MNAWEZA KUJA KUANGALIA NJIA YA KUINGIA MTO KAWE MWISHO WA UKUTA WA HON MBOMA ALIEKUWA MKUU WAMAJESHI KUMEJAA MALORI KUANZIA CHINI MPAKA JUU

TRA WANAJUA KINACHOENDELEA MANISPAA WANAJUA KINACHOENDELEA NA HIVI SASA MAGARI MANNE YA WANENE WAKIONGOZWA NA KIJANA MMOJA AMESHUKA KUJA KUPOKEA PESA ZAO ZA MCHANGA HUKU WAKIHESABIWA IDADI YA MALORI NA VIJANA WAWILI WANAOLIPWA ALF HAMSINI KWA SIKU KILA MMOJA

HAKIKAAA KINACHOENDEELEA NAWAZA MARAMBILI NANI YULO NYUMA YA PAZIA ??MNATIA AIBUU KABISAAA KANA KWAMBA HAKUNA KIONGOZI KWENYE MANISPAA HII

KWELII WAHUNI WANAKUJA KUKUSANYA PRSA ZA MCHANGA NA KUPELEKA VIJIKO VYAO UNAHISI WAKO WENYEWE N CHENI NDEFU KUBWAA

HIVISASA MALORI YAMEJAA KULIA NA KUSHOTO USIKUHUU YAKISUBIRIA KUBEBA MCHANGAAA INANIKUMBUSHA MAISHA YA BURUNDI INASIKITISHA SANA

LAMI NZIMA KWA WENYE TV MNAWEZA KUJA ONA WENYEWE LAMI YA TANKIBOVU KUFIKA MWISHO WA UKUTA WA MBOMA ZIMEANZA KUDIDIMIA NA NYINGINE KUBOMOKA KABISA SIJUI NANII ANAKUJA JENGA

Halima Mdee, Out!
 
Habari hii ni sawa na mechi bila bao...
 
Si wanatoa mchanga mtoni kuongeza kina? Sasa wakitoa huo mchanga ulitaka ufanywe nini? Uwekwe pembeni ili mvua ikija urudi mtoni? Majungu sio mtaji.
 
Ungekuwa umeweka picha wala usingehangaika kuweka maneno meeeengi
 
Back
Top Bottom