Imenishangaza kwamba kuna wananchi wanataka maamuzi ya kufungia vyombo vya habari yaende kuwa justified na serikali mahakamani.
Nashangaa kwa sababu magazeti yanafungiwa kwa mujibu wa sheria...
Jamani tangia juzi nimekua nikiwatolea povu wanaojifanya wananitumia sms zinazohusiana na masuala ya uganga.
Mpaka naandika hapa nimeshamtolea mtu povu na kunitishia kwamba anataka kuniroga tumbo...
___________
Ukisikiliza vizuri hii interview, utagundua kuwa, ROMA amebakiza robo kuusema ukweli juu ya tukio la kutekwa kwake.
Kwamba, maswali yalihusiana na nini? Anadai, maswali yalihusu...
Naona kwa sasa imeshakuwa rasmi vazi la suruali kuvaliwa na wanawake, si jambo la kushangaza tena kama ilivokuwa zamani.ningependa kujua bado kuna wazazi wanalishikia bango hili jambo.
Wadau kuna ofisi nilikuwepo nikakutaa katika ofisi hiyoo kuna jamaa ana diploma na ndio mkuu wa idara akiwaongoza watu wenye degreee .
Yaani nimeshangaa kuona mtu mwenye diploma ana cheo cha juu...
Imekuja habari ya kushtukiza ikidaiwa imetoka barza la mitihani tanzania (NECTA) kwamba shule zote za sekondari WILAYA ya Uyui ziache kupiga picha (huku tayari wakuu wa shule wakiwa wameshatafuta...
Inaumiza sana Unatafuta kazi af mdada wa mapokezi anakutolea maneno ya kukukatisha tamaa tena hata bila ya kukuruhusu kuonana na boss. Sijajua wote ndio wanafundishwa hivi kwenye vyuo vya hizo...
Nikitazama vyombo vya habari vya kimataifa au hata hapo Kenya tu, naona utofauti mkubwa sana. Mwandishi anapoamua kuandika anafanya research ya haraka haraka na kuangalia zaidi nafasi ya jamii na...
''Kazi hii haitakiwi kulala, inahitaji ukweli, kuwafundishwa, kuwaelimisha Mahujaji pia kufanya kwa ajili ya radhi za Mwenyezi Mungu ili mambo yote yaende sawa" amesema Shekh Zubeir.
Muungwana
KESHO J3: Ni siku ambayo Yuda anajitoa maalum kabisa kwenye Jumuiya Ya mitume na anaanza mpango wake Kabambe wa kumuuza Yesu.
J4:- Ndio siku ambayo Yuda atatimiza mpango wake na atakabidhiwa...
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Charles Mkumbo amepata ajali katika eneo la Mdori mkoani Manyara baada ya gari alilokuwa akilitumia kusafiria kupasuka gurudumu 'tairi' ya nyuma na kupoteza...
Ninajua kuwa tuko kwenye hatua za mwisho mwsho za kukamilisha Bajeti ya 2018/19 ili ipelekwe Bungeni kujadiliwa na kupitishwa na Wahe.Wabunge. Ninamuomba Mhe. Waziri wa Fedha na Mipango kuwa ili...
Polisi mkoani Shinyanga wanamshikilia mzee mwenye umri wa miaka 90, Kachuka Malongo kwa tuhuma za kubaka wanafunzi watano wa Shule ya Msingi Tinde, Wilaya ya Shinyanga.
Akitoa taarifa kwa vyombo...
Katika ibada iliyofanyika leo ya siku ya mitende makao makuu ya kanisa la Full gospel bibla fellowship,utukufu wa Bwana umeonekana kwa namna ya ajabu sana
Katika ibada hiyo amewataka watu wote...
Habari zenu ndugu zangu na watu wa Mungu mliopo humu JF, Kwa uweza wa Roho Mtakatifu Leo ninevuviwa kuleta ONYO hili kwenu na kwa watu wanaosababisha watu kutokwa Roho, kwa kuwapiga risasi,kutoa...
Zamani niliiona jamii ya Tanzania kama inafanana na jamii ya wana wa Israeli chini ya uongozi wa Nabii na Mtume Musa, katika zoezi lake la kutoka utumwani na kuiendea nchi ya ahadi ambayo Mungu...
Ni kupevuka tu!
Matusi hayahatarishi amani. Malumbano hayahatarishi amani. Ni wakati sasa mambo hayo yakaachwa ili tuanze kudeal na mambo makubwa.
Nchi zilizoendelea zimebaini kuwa hivyo sio...
Unamwalika mwananchia aje kwenye uzinduzi afunge shughuli zake za uzalishaji toka saa tatu unamkalisha chini unampigia mziki mpaka saa saba ndio unafika huu ni unyanyasaji kwa raia
Na Mwandishi Wetu
KANISA Katoliki nchini limeanzisha kampeni ya kupima virusi vya ukimwi kwa waumini wake ili kupunguza kasi ya maambukizi ya ugonjwa huo.
Akizungumza na Mwananchi Jumapili...
Wana jamvi leo katika pitapita zangu za kuganga njaa nilijikuta nikiwa BRELA. Katika kupita huku na kule nikamuona Maghufuli akiwa na maafisa wa BRELA akistaajabu mafaili kuhifadhiwa hadi miguuni...