Namba za halotel zmekua nyingi za matapeli.

Namba za halotel zmekua nyingi za matapeli.

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,474
Jamani tangia juzi nimekua nikiwatolea povu wanaojifanya wananitumia sms zinazohusiana na masuala ya uganga.
Mpaka naandika hapa nimeshamtolea mtu povu na kunitishia kwamba anataka kuniroga tumbo hahaha.

Nimemjibu kama ana uwezo ajaribu, yaani sijui kwanini namba za halotel ndo wamekua wengi ukilinganisha na mitandao mingine.....

(0625228712)
Mjukuu Wangu Super Feo haujambo? Ni mimi babu yako nimerudi juzi kutokea kongo nilienda kuongeza dawa zingine naona yale mambo yetu yanakwenda vizuri ndagu niliyokupatia imekufaa kila kukicha unaendelea tu kuongeza magari na mahoteli ila mnachoniuzi wewe na wenzio akina mwendamseke mnaniletea watu nawasaidia bure wanafanikiwa hawarudi hata kuju kushukuru haya vijana lakini kumbukeni kuwa kuna watu wanatamani kuwa kama nyie lakini hawajui pakuanzia ni wapi ile dawa ya kuvuta wateja nimekuja nayo safari hii nilivyoitengeneza nikiboko uwe makini sana na masharti umtume kijana aje achukue nipigie nikuelekeze.
Screenshot_2018-03-26-20-30-11.jpg
Screenshot_2018-03-26-20-29-56.jpg
 
kuna mwingine et anaanza dada mange kimambi zile dawa nilizokusaidia kubadilisha risasi kuwa maji na mabomu ya machozi kuwa maji zipo nyingine za utajiri linaendelea kama hao wengine.rubbish kabisa
 
Back
Top Bottom