eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Niko dar es salaam hii ni wiki ya pili sasa na leo nilifanikiwa kufika manispaa ya ubungo kwa ajili ya kujipatia leseni ya biashara ninayotaka kuianzisha
Nimefika pale na TIN number yangu na kopy ya kitambulisho changu
Kufika nikaomba form ya maombi ili nijaze, nilipomaliza kujaza nikaweka tin number yangu na kopy ya kitambulisho changu na cliarensi kutoka TRA nikaipeleka kufika form yangu haikupokelewa kabisa japo nimeomba sana lakini sikusikilizwa nikaambiwa mpaka niweke huko mkataba wa eneo nililopangisha! Kwa kweli imeniuma sana nikarudi na hela zangu za kulipia leseni kisa sina mkataba wa pango
Sasa, nauliza mkataba wa pango ni muhimu kuliko tin number, cliarensi, na kitambulisho na pesa yangu ya kulipia leseni?
Kiukweli mmenisikitisha sana manispaa ya ubungo