Human Papiloma Virus
Member
- May 20, 2017
- 73
- 168
Amani iwe nanyi wanaJF
Nimeishi Morogoro kwa miaka mi3 enzi hizo nasoma chuo kikuu Sokoine(SUA) miaka ile nikiri tu kwamba hali ya hewa ya morogoro mjini ilikua safi sana
Hivi majuzi nimerudi tena Moro na ntakuwepo hapa kwa miezi kadhaa
Kiukweli hali ya hewa ya sasa ya morogoro haina tofauti sana na DSM,joto Kali,ukitoka kuoga unasweat.
Hata kama ni msimu wa mvua ila hapana hili joto ni too much
Kwa ninavyoelewa japo kidogo wakati wa mvua hasa miji yenye milima mirefu kama arusha,Moshi na hata hapa Moro kunakuwa na baridi,sasa sielewi wakati huu nini kimeikumba morogoro
Nliishi wakati ule sikuwahi kuexperience joto kama wakati huu
TMA nini tatizo ???mnijuze mwananchi wenu nisije nikaiva kwa joto na kuwa mishikaki