Fahamu machache kuhusu titanic

Fahamu machache kuhusu titanic

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,796
Reaction score
48,044
Ilikuwa meli ya ki british ya kusafiria abiria ambayo ilizama kaskazini mwa bahari ya atlantic 15 april 1912 ikitokea southampton kwenda new york city

Kulikua na abiria takribani 2224 na wafanyakazi

YAFUATAYO NI MACHACHE KUHUSU MELI HIYO

1.SWIMMING POOL
Titanic ndiyo ilikua meli pekee ya pili duniani kuwa na swimming pool ambalo maji ya baharini yalichemshwa na mashine,hivyo watu walioga maji ya moto,ila ni first class tu

2.MOYO WA BAHARI

unaikumbuka ile cheni ya almasi kwenye movie ya titanic ? ,ni kisa cha kweli
"The heart of the ocean" kama ilivyoitwa cheni hiyo ya bluu ya almasi alipewa kate florance phillips na mpenziye ambaye alikua ameoa,bwana samuel morley,wapenzi hawa walikuwa wakienda marekani kuanza maisha mapya

Lakini morley kama jack wa kwenye movie alikufa meli ilipozama

3.Meli ya titanic ilipogonga bonge la barafu ilikaa maa mawili na nusu bila kuzama

4.abiria wengi walishawishika ama kuamini kua meli hii haikuwezekana kuzama "unsinkable" hivyo kupuuzia tarifa kua meli imegonga barafu ,,wakaendelea kucheza na kula

5 .bei ya nauli ya titanic ilikua ni $4700 kwa sasa ni sawa na dola laki tano ,sawa na tsh 1,127,307,427

6.mtu mmoja aitwaye charles joughin aliweza ku survive maji yenye ubaridi wa 31 kwa sababu alilewa mno kabla meli haijazama

7.watu laki moja walikwenda kushuhudia uzinduzi wake ,may 31, 1911

8.wakati wa miezi 26 ya ujenzi wake watu 246 waliumia na wawili kufariki

9.john jacob ndiye alikua abiria tajiri zaidi kwenye meli hiyo$85 mill,,$2 billion ya leo

10.watu wengi walikua na ticket za kusafiri na Titanic siku ilipozama,lakini hawakutaka kusafiri,akiwemo MILTON HERSHEY na ALFRED GWYNNE aliyekufa miaka mitatu baade kwenye meli ya RMS lusitania (huyu ni kama aliandikiwa kufia baharini)

11.meli hii ilipewa tahadhali za barafu kubwa mara sita katika siku hiyo ,kabla ya kugonga barafu

12.wanamuziki wali perform kwa masaa mawili yote huku wakiona kabisa meli inazama

13.BWANA THOMAS ANDREWS mbunifu wa meli hii baada ya ujenzi wa meli aliulizwa na mwandishi wa habari "meli hii ni salama kiasi gani ?"

Alijibu "ni salama kiasi kwamba hata mungu hawezi izamisha"

Mtu huyu alifia humu kwenye meli siku ya ajali
 
Asante mkuu kwa udodonzi huu
 
Achaneni na Mungu kabisaaaa
Nashangaaaa hawa wanasiasa wanamdhihaki Mungu as kama mwanadamu!!!
Kuna MTU alishindaga urais alipohojiwa akasema hiwe isiwe lazima kesho apishwe awe rahisi hata Mungu asipopenda!
Ajabu alikufaa usiku wake!!!
 
Kweli kabisa,nilimsikia huyu mtu,mkuu ,umewahi kuisikia na ya john lenon ?
 
Hayo maneno ya mwisho ni kweli Thomas Andrews alisema

John Lenon kusema kwamba The Beatles wamekuwa maarufu kuliko Yesu Kristo ndio maana akaja kufa siku chache zilizofuata zilipingwa na wenzie.

Kuhusu Maryln Monroe kumdhihaki Mtumishi wa Mungu Billy Graham ni kweli.

Billy Graham yeye bado yupo leo hii na miaka nafikiri 80 na ushee au 90.
 
Ilikuaje ,mkuu ya huyo monroe ?
 
Billy Graham ameafariki nadhani ni mwwzi huu mwanzoni.
 
Hayo maneno ya mwisho ni kweli Thomas Andrews alisema

John Lenon kusema kwamba The Beatles wamekuwa maarufu kuliko Yesu Kristo ndio maana akaja kufa siku chache zilizofuata zilipingwa na wenzie.

Kuhusu Maryln Monroe kumdhihaki Mtumishi wa Mungu Billy Graham ni kweli.

Billy Graham yeye bado yupo leo hii na miaka nafikiri 80 na ushee au 90.
Mkuu,Billy si amefariki mwezi jana?
 
Back
Top Bottom