Kupigwa chini kwa Betty Mkwasa na Shaaban Kisu kunaashiria nini kwa Wanahabari?

Pole yao. Jamaa kaona hawana vigezo anavyovihitaji na hasa "elimu" labda. Nikiangalia wanahabari aliowaingiza na aliowatoa.
 
Mkuu inaonekana umezaliwa, kukulia na kusomea Ulaya sana na Kiswahili kwako siyo kipaumbele!
Not at all, all these two languages I learned then when I went to school. At certain times you have to choose what makes you communicate efficiently/effectively (not fluently please); and the reason is this: English is rich in vocabulary and therefore sometime a better choice of medium of communication! Ila nisema kweli, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Kiswahili sikipi kipaumbele, niwe mkweli! Nitaanza kukipenda kuanzia leo kwa wito wako!
 
Not at all, all these two languages I learned then when I went to school. At certain times you have to choose what makes you communicate efficiently/effectively (not fluently please); and the reason is this: English is reach in vocabulary and therefore sometime a better choice of medium of communication! Ila nisema kweli, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Kiswahili sikipi kipaumbele, niwe mkweli! Nitaanza kukipenda kuanzia leo kwa wito wako!


Oooh God..!! English is REACH❌❌❌❌❌❌❌❌❌ in vocabulary...!! supp..!!

Damn..!! Stop using The Queen's language...!!
 
Ndo hivyo tena;
kama unapata kazi kibahati bahati,
halafu tena unaenda kuuza sura;
unafikiria nini kitafuata?
Huu mchezo hautaki hasira.
Mamndenyi Mungu nisamehe, wanawake wengi (sio wote) walio katika sehemu za siasa, kuteuliwa katika nafasi "nzuri" wote wamepitia kuuza sura, you understand what I mean! Na wanaume inapokuja kwenye mwanamke wanafikiri kwa kutumia "kichwa kidogo" (quote: Evely salt)
 
Back
Top Bottom