kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,686
Umoja wa Makanisa ya Kikristo umesema kanisa ni chombo chenye mamlaka ya Mungu katika kukosoa, kukemea na kuelimisha waumini wake na kamwe hakiwezi kunyamazishwa na mtu yoyote.
Akizungumza katika Ibada ya ya Ijumaa Kuu, mwenyekiti wa Umoja huo, Askofu mstaafu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, Josephat Lebulu alisema kanisa limepewa mamlaka ya kuhubiri upendo na amani, hivyo hakuna atakayeweza kulinyima kusema.
(...inaendelea ukurasa wa 8' gazeti la NIPASHE)
Wakati huohuo katika gazeti la MTANZANIA, limepambwa na kichwa cha habari kisemacho "UJUMBE MZITO WA VIONGOZI WA DINI IJUMAA KUU, na gazeti la MWANANCHI lina kichwa habari kisemacho MSIWACHAGUE VIONGOZI WATAKAOWAFANYA MUISHI KWA KUOGOPA.
THE CITIZEN linasema "Faith without good works is dead, warns Bishop.