IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Kipindi hiki nyimbo zinazotamba ni bolingo+Remi ongara
Enzi zile MTU akiumwa kila MTU anajua
Familia nyingi ziliteketea
Wachache sana walinusurika wengi walikufa kipindi kile...ukiupata lazima ufe..
Tuliishi Kagera-bukoba enzi izo mzee yuko Kule....jamani msikie tu haya mambo...
Tumshukuru mzungu Leo kila kitu poa...
Nipe uzoefu...kipindi kile ilikuwaje...