Msaada wa job description za DT

Msaada wa job description za DT

Septem

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
313
Reaction score
404
Habarini za jioni wakuu?

kama tujuavyo Mkurugenzi wa halmashauri ndie afisa masuuli-ACCOUNTING OFFICER. Lakini idara ya fedha iko chini ya Mtunza hazina (DT). Hivyo ninahitaji kujua majukumu na wajibu wa mkuu wa idara ya uhasibu katika halmashauri hususani katika uidhinishaji malipo.

Nikipata document husika itakua ni nzuri zaidi.

asanteni
 
Habarini za jioni wakuu?

kama tujuavyo Mkurugenzi wa halmashauri ndie afisa masuuli-ACCOUNTING OFFICER. Lakini idara ya fedha iko chini ya MHASIBU WA WILAYA (DT). Hivyo ninahitaji kujua majukumu na wajibu wa mkuu wa idara ya uhasibu katika halmashauri hususani katika uidhinishaji malipo.

Nikipata document husika itakua ni nzuri zaidi.

asanteni
Sio MHASIBU WA WILAYA, NI MWEKA HAZINA WA HALMASHAURI (DISTRICTS TREASURER). USITAFSIRI KIYAHUDI BROTHER
 
Sio MHASIBU WA WILAYA, NI MWEKA HAZINA WA HALMASHAURI (DISTRICTS TREASURER). USITAFSIRI KIYAHUDI BROTHER
nisaidie tafadhali kama unayo, marekebisho yako ninayapokea.
 
Katafute LOCAL AUTHORITY FINANCIAL MEMORANDUM,(LAFM). Utazikuta huko.
 
Back
Top Bottom