Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,544
- 52,669
Baada ya leo kupanda basi hizo zinazosifiwa sana, nimejionea mapungufu yafuatayo;
1. Hakuna wahudumu wa kike. Wapo wa kiume ambao wana kauli ngumu kwa wateja / abiria
2. Ndani ya basi unapewa maji pekee yake wakati Kilimanjaro Bus unapewa maji, soda, keki na
pipi
3. Hawapigi nyimbo za kwaya kabisa tofauti na mabasi mengine yanayoenda Arusha.
4. Hawana basi zenye choo licha ya kuwa na stika ya SUMATRA iliyoandikwa " Daraja la Juu "
5. Njiani kwenye lunch wanasimama Hotel za kichovu sana.