Kwa bei hii ya dizeli uchumi utayumba

Kwa bei hii ya dizeli uchumi utayumba

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,571
Reaction score
21,119
Hali sasa si shwali kabisa! Bei ya mafuta inazidi kupanda kila mzigo mpya unapoingia. Tufanyeje ili tuepukana na hali hii vinginevyo vyuma vitakatika kwa sababu hivi sasa viko red hot!!!
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe havifanani..... HALAFU NI "SHWARI" siyo shwali.
 
Back
Top Bottom