Habari zenu!
Juzi juzi nilimsikiliza mfanyakazi mmoja, sikumbuki wadhifa wake, ila ni mtu wa juu kidogo. Alisema mfumo huu wanaoanza kuutumia leo ni kwa ajili ya kuboresha mfumo uliopita na pia...
Ni habari ya kushtua kufurahisha na kuhuzunisha pia... Mvumbuzi mgunduzi wa madini adhimu yanayopatikana Tanzania pekee kwenye dunia nzima... Hatimaye jana kakumbukwa na kupewa 'ZAWADI' ya...
Wakuu naona kuna wingu kubwa sana na radi zinapiga maeneo mbalimbali hapa dar kuna kila dalili ya mvua kubwa kunyesha naomba tupeane updates kupitia uzi huu
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Mrisho Gambo mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa...
Habari za hapa Jukwaani.
Shule ya Msingi Kavazungu iliyo Wilaya ya Mwanga Kilimanjaro ina waalimu watatu....
Hii shule ina darasa la kwanza hadi la 7
Waalimu walikuwa 8..... Kuanzia mwaka 2015...
Gari lililokuwa kwenye msafara wa Mwenge wa Uhuru katika Manispaa ya Bukoba limeacha njia karibu na msitu wa Kyamunene kufuatia mvua kubwa iliyoanza kunyesha leo alfajiri. Hakuna madhara...
Jana nimepata passport yangu. Imenichukua miezi miwili tangu niwasilishe maombi mpaka kuipata. Wengi walikuwa wanasema inachukua hadi miezi sita.
Niliomba tarehe 24/11/2017 nikapewa ahadi ya...
Kiasili (nakubali kukosolewa), mwanadamu ameumbwa na mihimili:
1. Uvivu;
2. uchoyo na;
3. Ukatili.
Pamoja na kuumbwa hivyo, bado mhimili wa tatu una mizizi mirefu na ndio huhinikiza na kuonesha...
Wasaalam wanabodi,
Moja kwa moja kwenye mada:
Nilipokuwa ADVANCE MALANGALI SEKONDARY (Mafinga Iringa) nilipata kusoma vitabu tofaut tofauti vya historia, baadh vikizungumzia sifa za majeshi...
MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA NI NDOTO MFANYAKAZI WA BONGO
Nawasalimu wote mnaoanza kusoma ujumbe huu. Salamu za kipekee zimfikie rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli kwa juhudi zake...
Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Kasheku maarufu Musukuma (CCM), ameitaka serikali irudishe kazini watumishi wa darasa la saba iliowafukuza vinginevyo wabunge wenye elimu ya darasa la saba pia...
Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zacharia Kakobe amesema yeye siyo unyasi unaotikiswa na upepo.
Amesema hata kama yeye na kanisa lake watapitishwa kwenye magumu, atashinda...
Ningependa kujua ni nchi gani au Shirika gani la Kimataifa limetununulia gari hii DFPA 3897, kwa maana Mhe. Rais hajatoa shukrani kwa msaada huu! Wananchi Mirerani wana haki ya kujua nani...
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni jijini Dar es salaam, Hashim Mgandilwa amewaweka chini ya ulinzi maafisa wawili wa juu wa Kampuni ya mafuta ya LAKE OIL kwa kukiuka masharti ya uwekezaji katika eneo...
wadau,
Gari ya Polisi aina ya land cruiser pt. limezama baharini baada ya kufail breki kwenye mstari pale Pwani bandarini Mafia.
Dereva wa gari yu mahututi hospitali ya wilaya. vyombo vya...
Kadri siku zinavyozidi kuyoyoma kufikia mwisho wa dunia, ndivyo mambo ambayo yalikuwa siyo ya kawaida kutokea ama kuyaona yanavyozidi kutamalaki hapa Ulimwenguni.
Kitendo cha mnyama anayekulikana...
Umofia Kwenu wana JF,
Wiki iliyopita kuna miili mitatu iliokotwa maeneo ya mabwepande kwa nyakati tofauti kwa utofauti wa siku mbili,Style ya vifo vyao ni kama moja,maana maiti zilikuwa...
Hili gazeti kila siku lina story mbaya ya CHADEMA
Hili kila siku lina sifa mpya kwa mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda
Hili gazeti lipo kupambana na kila mpinzani wa serikali, juzi kati...
Zamani kulikuwa na msemoa baba au mama ni baraka. Ukihusiana na baba au mama yako au ndugu zako ni baraka.
Lakini ukweli nilioutathmini katika maisha ni tofauti. Utakubaliana na mimi kwamba watu...
Mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine, Kereto Sokoine ameuawa katika ugomvi uliotokea na mkewe.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Charles Mkumbo...