Jamvi la Habari ni gazeti la nani?

Anajiita Josheph yona ndio mmiliki wa hilo gazeti,nipo nae kwenye magroup ya whatapp ukisoma habar zake zinachosha kweli
 
OK. Ni Nani?
Alikuwa mgombea ubunge KIBAHA MJINI kupitia CHADEMA 2010 inasemekana aliuza ushindi, baadae akafukuzwa uanachama enzi za kina Zitto, baadae akahamia ACT Wazalendo akagombea tena ubunge KIBAHA MJINI akadumu kama mwaka, then akajivua uanachama.

- Kwa sasa ameanzisha kampeni moja matata ya KUMJAZA MASIFA YA MWENDOKASI MR "Just Praise Me" ili amkumbuke hata kwa UDAS/UDC bila kusahau kumdeal mtu yeyote aliye kinyume na MR Just Praise Me
 
Haha haha haha Mr Just Praise Me haingiliki kirahisi kama wewe hutokei kanda pendwa
 
Anajiita Josheph yona ndio mmiliki wa hilo gazeti,nipo nae kwenye magroup ya whatapp ukisoma habar zake zinachosha kweli
Yona sio mwandishi wala mmiliki ni mpiga porojo na anatumia hilo karatasi kuonesha chuki zake kwa CHADEMA...anasema walimteka so anawachukia balaa
 
Kesho habari ya mwandishi wa The Guardian kuteswa karibu ya kufa haiwezi kuandikwa Na gazeti hili ambalo ni Mali ya chama
 
Back
Top Bottom