Kadri siku zinavyozidi kuyoyoma kufikia mwisho wa dunia, ndivyo mambo ambayo yalikuwa siyo ya kawaida kutokea ama kuyaona yanavyozidi kutamalaki hapa Ulimwenguni.
Kitendo cha mnyama anayekulikana...
Umofia Kwenu wana JF,
Wiki iliyopita kuna miili mitatu iliokotwa maeneo ya mabwepande kwa nyakati tofauti kwa utofauti wa siku mbili,Style ya vifo vyao ni kama moja,maana maiti zilikuwa...
Hili gazeti kila siku lina story mbaya ya CHADEMA
Hili kila siku lina sifa mpya kwa mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda
Hili gazeti lipo kupambana na kila mpinzani wa serikali, juzi kati...
Zamani kulikuwa na msemoa baba au mama ni baraka. Ukihusiana na baba au mama yako au ndugu zako ni baraka.
Lakini ukweli nilioutathmini katika maisha ni tofauti. Utakubaliana na mimi kwamba watu...
Mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine, Kereto Sokoine ameuawa katika ugomvi uliotokea na mkewe.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Charles Mkumbo...
Hii ni hatari, nimepata kuzuru club mbalimbali hapa mjini Moshi na Arusha, ila hivi karibuni toka mwaka jana mwishoni wamiliki wa club ya Black Diamond iliyopo Moshi mjini wamekuwa wanafanya...
HONGERA RAIS MAGUFULI KWA KUONESHA UKOMAVU MBELE YA MAASKOFU
Jumapili Aprili 08, 2018
Naandika ujumbe huu kumpongeza Rais wangu Mhe. John Pombe Magufuli kwa kushiriki tukio la kusimikwa kwa...
Msaada kwa wanaofahamu na wale waliokwisha kwenda. Ni taratibu zipi unapaswa kuzifuata unapotaka kwenda Vatcan City (Rome - Italy) kufanya utalii. Tukianzia hapa nyumbani, kuna agents wanaosaidia...
Tunapoendelea kuomboleza na kusikitika na madhila ya ajali ile, kwa upande mwingine napo maaajabu ya Mussa na ajali ya Igunga yanaendelea.
Walitokea kina Mwigulu Nchemba kutaka sheria zikiukwe...
Nimekaa nikiwaza sana jinsi hali ilivyo nchini
Kwani pindi nasona shule ya msingi zamani kidogo hapo awali kabla ya Matokeo makubwa na baada ya Matokeo makubwa na hata baada ya kupotea kwa...
Haya ni majiano kati RPC mkoa wa Dodoma na Mtuhumiwa:
RPC : "Haya umeandika hapa I love you inakusaidia nini!
Mtuhumiwa: Ni sanaa
RPC: Ngoja kwanza ni sanaa ya nini, kuna sanaa inayosema I love...
Watu wasiojulikana wanazidi kuua ndugu zetu. Wanawake 4 wamekutwa wameuawa kikatili ikiwemo kwa kunyongwa na kuharibiwa vibaya wilayani Nyang'wale.
Matukio hayo yametokea usiku mmoja kwa...
Amani ya Mungu iwe kwenu wakuu,
Naombeni kuuliza, hivi ni haki kampuni ya simu kutangaza biashara kwenye simu niliyonunua kwa hela yangu, sim kadi nimenunua(hawakunipa bure),na nikitaka kutumia...
Imebidi niulize ili nipate kufahamu kama Misikiti au Makanisa yanabanwa na sheria yoyote ya nchi ama ya kidini kwamba ni lazima kuwakaribisha viongozi wa kiserikali kama Rais , Waziri Mkuu ama...