Kwa WANAAPOLO ukuta wa Mererani ni sawa na sifuri

Kwa WANAAPOLO ukuta wa Mererani ni sawa na sifuri

Shetemba

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
956
Reaction score
986
Bila kuficha ukuta uliozungushwa huko
Kwenye machimbo ya Tanzanite kama
Wachimbaji wanaojulikana kama wanaapolo wataamua kuhujumu basi kazi yote itakuwa ni bure;

Inasemekana kwamba wanaapolo wanauwezo wa kuchimba chini kwa chini mfano wa kutoka Manzese mpaka Kibaha bila kutokezea juu
Sasa kama wataamua kuchimba na kwenda kutokezea nnje ya ukuta utawazibitije ? swali.
 
Kuna mabomu yametegeshwa chini ya ardhi kuzunguka eneo lote LA ukuta
 
Yanini upate tabu kuchimba chini wakati waweza pitisha angani
images%20(1).jpeg
 
Suala LA madini kuondolewa hapo ni simple sana kwa apolo ka anaweza toka kwenye mgodi na mawe wenzie wasijue na akaguliwe sana bado asipatikane anayo unadhani uwo ukuta utamzingua kitu,
 
Tanzaniteone walifunga camera plus machine ya kukagua na watu walipita na mawe ...hao makoplo njaa wakula mshiko na kuruhusu
 
Ngozi nyeusi full njaa na hivi mishahara yao haijapandishwa ndio vizuri,watakula mpka kombat ziwabane...mwezi ujao tunaanza kujenga ukuta chattle kuzuia samaki zisiibiwe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hatarii
Nyie wana apology nyie
 
Back
Top Bottom