Ukikagua vibegi vya akina dada huko hukosi tissue au toilet paper na huwa wanazitumia wakienda haja wakiwa mbali na kwao madai hawataki kutumia maji ya public toilet kuhofia UTI.
Sawa, tatizo...
Dakika chache zilizopita naona kama internet ya Halotel haipokei ghafla, ndo kwamba serikali kweli inafanya majaribio ya kuzima mitandao ya internet. Nipo maeneo ya Ndanda hapa Kuchele naona kama...
Ndugu wanajf kuna huyu ndugu mtajwa hapo juu ni tapeli msitume pesa kwake za kununua bata au kuku vinginevyo mtalizwa kama alivyotutenda sisi.
Kipekee nimechukua hatua za kisheria na punde...
Habari wapendwa
Nawasalimu kwa jina la Bwana wetu Kristo Yesu
Juma pili nilikuwa miongoni mwa watu waliohudhuria ibada mchungaji alihubiri kuhusu moyo wa mwanadamu akasoma kitabu cha Mithali 4:23...
Habari wote!
Leo nilikua napiga story na jamaa yangu fulani, sasa na hizi mvua zinazoendelea nchini kote na madhara yake huyu jamaa akanipa story fulani ambayo kwangu kidogo sijaifanyia utafiti...
Chama Cha Walimu(CWT) IZIFUNGIE NDANI VYAMA VIPYA.
Hivi karibuni kumeibuka vyama kama vitano vinavyo dai kusaidia walimu kama CWT. Hapana ni uongo tu na ulafi wa kujulikana na kupata pesa...
Mtoto wa Mwl Nyerere Anataka JK iwe Kifupi cha Julius Kambarage Na Sio JK wengine!Anahutubia Sasa Kwenye Sherehe za Kuzindua Jengo La PSPF Dodoma Hivi Sasa!
TANAPA kwa ushirikiano na taasisi ya utafiti ya Tawiri wameanza zoezi la kuhesabu Nyumbu ambao wanakadiriwa kufikia 1.3mil. Wanaanza katika mbuga ya Serengeti.
Zoezi hilo linategemea kugharimu...
Kakonko.
Matukio ya wanaume kuua au kuharibu mali kwa hasira baada ya kuzaliwa watoto wa kike pekee katika familia, yanaendelea kuongezeka nchini.
Katika tukio la Aprili 20, mwanamume mmoja...
sisi waswahili maskini maandamano hatujaanza leo. kila siku tunaandamana tena kwa amani tu huku tukihuzunika na kusononeka kutokana na maisha yetu haya... wewe fikiria haya maandamano yetu.
1...
Toka Kitambo Nimeanza Kufatilia Sherehe Mbalimbali za serikali Kama Vile Sherehe za uhuru,Muungano au Ufunguzi/Uzinduzi wa Vitu Mbalimbali!Nilichogundua Huwa Ratiba Haifuatwi Kabisa Kuna...
Kuna kile kitabu ambacho kilikuwa na michoro ya mimea ambayo haifahamiki na haipo dunia hii, pia kilikuwa na michoro ya nyota na sayari pamoja na mambo ya unajimu.
Kilikuwa kimeandikwa kwa lugha...
Yani kwa mara kwanza nilitakaga kupigwa kama laki sita yangu kwa njia ya kishamba kama hii mwaka 2010.
sasa imepita miaka nane mpka sasa afu lijamaa linakuja na mbinu ileile.
Yani hawa jamaa...
Naona mradi wa jengo kubwa la pspf likizonduliwa leo hii 23/4/2018, na miradi mingi kemkem ya pspf, swali nauliza je miradi hiyo inawanufaisha wanachama wachangiaji??
Habari wanajamii forum ninashida ya takwimu hizi hapa za jiji la mbeya(mbeya city).
Naomba kujua % ya barabara zilizopo sasa, % ya uwepo wa njia ya reli, na % ya viwanja vya ndege vilivyopo sasa...
MBINU za mabeberu zinatabirika, na kila wakati zinafanya kazi, kwa hiyo hawana haja ya kuzibadili, kwa vile sisi tunatabirika! Lumumba alijua ataishia kifo cha kikatili aliposema “Nikifa kesho, ni...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Juma Ndani amethibitisha kutokea kwa tukio hilo katika kijiji cha Kingongo wilayani Serengeti. Kamanda Ndani alimtaja marehemu kuwa ni Kibure Samwel (39) ambaye...
I call upon those with courage and confidence.
If we cannot get a honourable response on the CAG queries as well as a full account on how our 1.5 trillion was spent then I think it is time we...