Mwanaginingi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 464
- 399
Mtoto wa Mwl Nyerere Anataka JK iwe Kifupi cha Julius Kambarage Na Sio JK wengine!Anahutubia Sasa Kwenye Sherehe za Kuzindua Jengo La PSPF Dodoma Hivi Sasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona anaomba kazi kwaumagufuli? Kwani hajazeeeka?Mtoto wa Mwl Nyerere Anataka JK iwe Kifupi cha Julius Kambarage Na Sio JK wengine!Anahutubia Sasa Kwenye Sherehe za Kuzindua Jengo La PSPF Dodoma Hivi Sasa!
Daah Huyu Mzee Kaongea Kama ye Ndio Wa Mwisho!Ila Mkulu Naskia Anapenda KusifiwaSasa mbona anaomba kazi kwaumagufuli? Kwani hajazeeeka?
Anapiga Maji Kinoma Huyu JamaaNahisi alikuwa amepata kitwanga.si kwa uongeaji ule.
Kwanini ana bifu na JK wa kizazi chetu yule vasco da gama wetu jamani looh!!Mtoto wa Mwl Nyerere Anataka JK iwe Kifupi cha Julius Kambarage Na Sio JK wengine!Anahutubia Sasa Kwenye Sherehe za Kuzindua Jengo La PSPF Dodoma Hivi Sasa!
Kwahiyo Jakaya Kikwete atutafutie kifupi chake
Ahahaha!2015 Mbio Za Urais Kaka!Kwanini ana bifu na JK wa kizazi chetu yule vasco da gama wetu jamani looh!!
Mlevi huongea kinachomkera, pombe ina accerelate speedNahisi alikuwa amepata kitwanga.si kwa uongeaji ule.
Nae anaongea mnoo jamani, yote ni kuomba uteuzi tu aisee.
Hahahahaha! Kaka huyu anajua kujipendekezaMakongoro ninayemjua sio mtu wa kunyenyekea
JPM hawezi mpa kazi
Mlevi huongea kinachomkera, pombe ina accerelat speed
Umeenda mbali yeye tulimwita mchonga basi.Huyu naye atulie sasa JK imekuwa kifupisho cha Jakaya Kikwete siku zote na kitabaki hivyo. Yeye baba yake siku zote tutamkumbuka kwa vifupisho vya 'Mwalimu' na Mchonga meno'...
Na akimpa? Nitakukumbusha kwa hii comment yako,recall mrema alivomsifia na baadae akapewa paroleMakongoro ninayemjua sio mtu wa kunyenyekea
JPM hawezi mpa kazi