Sina uhakika kama kuna manufaa zaidi ya kuzungushia hela yako uje kupata kinua mgongoNaona mradi wa jengo kubwa la pspf likizonduliwa leo hii 23/4/2018, na miradi mingi kemkem ya pspf, swali nauliza je miradi hiyo inawanufaisha wanachama wachangiaji??
Naona mradi wa jengo kubwa la pspf likizonduliwa leo hii 23/4/2018, na miradi mingi kemkem ya pspf, swali nauliza je miradi hiyo inawanufaisha wanachama wachangiaji??