Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,253
- 15,746
Dakika chache zilizopita naona kama internet ya Halotel haipokei ghafla, ndo kwamba serikali kweli inafanya majaribio ya kuzima mitandao ya internet. Nipo maeneo ya Ndanda hapa Kuchele naona kama sio kawaida.
Usiulize nimeandikaje hii thread ila hapa situmii internet ya mtandaoni.
Tujulishane wadau
Usiulize nimeandikaje hii thread ila hapa situmii internet ya mtandaoni.
Tujulishane wadau