Ndugu wanajf kuna huyu ndugu mtajwa hapo juu ni tapeli msitume pesa kwake za kununua bata au kuku vinginevyo mtalizwa kama alivyotutenda sisi.
Kipekee nimechukua hatua za kisheria na punde nitawapa muafaka wa hili liko mikononi vyombo vya usalama.
Amenitapeli tangu december 16/12/2013.ametapeli 240,000 mpaka leo anadanganya anatuma leo kesho,,leo kesho.
Ushahidi upo wa sms na mtu aliyemwagiza alete hao bata ,kwa kuwa ni member humu ajue kazi yake immeisha arudishe hela au mzigo hii haina suluhu kwake.
Naomba kuwasilisha wanajf!